Nani aliyemlisha Lissu matango pori eti kesi yake inafuatiliwa na Rais?

Kuna mtu kamuingiza chaka kwa picha za AI na yeye akaingia mzimamzima akaanza kujisifu mahakamani.
Acheni kumhadaa mwenzenu hii kesi ni very serious nyie mnaifanyia commedy
yaani umshitaki mtu alafu usifuatilie kesi uliyombambikia

Hivi CCM wenye akili ni wangapi vile? au wote ni kama WASSIRA tu
 
Wapi Rais kamshitaki ?
Hizo kozi zenu za ungwini hazina budi kufutwa
 
Kuna mtu kamuingiza chaka kwa picha za AI na yeye akaingia mzimamzima akaanza kujisifu mahakamani.
Acheni kumhadaa mwenzenu hii kesi ni very serious nyie mnaifanyia commedy
Wewe ndo Samia Hadi useme hafuatilii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…