Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Kuna sehemu Lisu alisema anafuatiliwa na Rais? Lisu hahitaji huruma ya mtuKuna mtu kamuingiza chaka kwa picha za AI na yeye akaingia mzimamzima akaanza kujisifu mahakamani.
Acheni kumhadaa mwenzenu hii kesi ni very serious nyie mnaifanyia commedy
Wewe Fala Rudisha jina lako la zamanijikite kwenye mada
Mama hafuatilii..atakua busy kupanga Safu mpya ya serikali ijayo... nadhani umepata majibu kuhusu yajayo.Kila mwenye akili timamu anaifuatilia kesi ya Lissu...
Sasa kama unadai Mama yenu hafuatilii nadhani ushatupa majibu kundi gani yupo..
Nadhan kashitakiwa na serikali ya jamhuri...Tulia alisema mkubwa wake na nchi yote Ni Rais.Wapi Rais kamshitaki ?
Hizo kozi zenu za ungwini hazina budi kufutwa
Yako mengi sana mkuu yan Tunavumilia kweliKwelii nimeamini matahira Tanzania hayatakaa yaishee.
Lisu wapi alitamka? kwanini UWT hamnaga akili?Mnaanza kuzikimbia clips zenu mlizoleta wenyewe
Wewe ndiyo umelishwa matango pori kuwa mama Mkoloni Kaburu Dikteta toka Zanzibar kuwa hafuatilii kesi ya Lisu wakati yeye ndiyo kawatuma Polisiccm wawabambikie kesiKuna mtu kamuingiza chaka kwa picha za AI na yeye akaingia mzimamzima akaanza kujisifu mahakamani.
Acheni kumhadaa mwenzenu hii kesi ni very serious nyie mnaifanyia commedy
Mama hafuatilii..atakua busy kupanga Safu mpya ya serikali ijayo... nadhani umepata majibu kuhusu yajayo.
Unaumia sana lakini huu ndio ukweli nchi nzima jana tulikuwa tunafuatilia kwa umakini kazi zilisimama .Kama hujui hii kesi ni Dunia nzima washuhudia ujinga wa CCMKuna mtu kamuingiza chaka kwa picha za AI na yeye akaingia mzimamzima akaanza kujisifu mahakamani.
Acheni kumhadaa mwenzenu hii kesi ni very serious nyie mnaifanyia commedy
Acha kuvuta Bangi huko Gheto kwa ibirisi wa ccm kisha kuja na uongo wako kuwa mtukufu Dikteta mkoloni kaburu toka Zanzibar hafuatilii kesi ya Lisu wakati yeye ndiyo kawatuma Polisiccm kubambika kesi yao uongojikite kwenye mada
Ulimwengu wote wanajua ibirisi wa ccm ni watu wakatili sanaUnaumia sana lakini huu ndio ukweli nchi nzima jana tulikuwa tunafuatilia kwa umakini kazi zilisimama .Kama hujui hii kesi ni Dunia nzima washuhudia ujinga wa CCM
Acha ujua akifuatilia au asipofuatilia inahusu nini, hapa ni mahakama na kesi ya mh lissu bila kujali nani yupo nyuma ya hili ,period.Kuna mtu kamuingiza chaka kwa picha za AI na yeye akaingia mzimamzima akaanza kujisifu mahakamani.
Acheni kumhadaa mwenzenu hii kesi ni very serious nyie mnaifanyia commedy
HaikuhusuMwambieni atulie na awaamini mawakili wake kamwe huwezi jua kila kitu