Kumbe ni marangu , basi sio tatizo lako bwashee .Marangu hiyo, ukweli halisi huwezi linganisha Iq ya Mbowe na Lissu na hii siyo binafsi ni kwamba mtoto aliyekuwa akila uji tu huwezi linganisha na aliyekuwa akila machalari
Kila mtu anaupekee wake kwenye KufikiriaIla siwezi kuwa na IQ za kinyaturu
JingalaoRudisha tu jina lako la awali Jingalao. Sasa unadhani Samia hafuatilii?
Lissu ni kichaa.Period.Kuna mtu kamuingiza chaka kwa picha za AI na yeye akaingia mzimamzima akaanza kujisifu mahakamani.
Acheni kumhadaa mwenzenu hii kesi ni very serious nyie mnaifanyia commedy
MkuuKuna mtu kamuingiza chaka kwa picha za AI na yeye akaingia mzimamzima akaanza kujisifu mahakamani.
Acheni kumhadaa mwenzenu hii kesi ni very serious nyie mnaifanyia commedy
Kwa nnLissu ni kichaa.Period.
Ni kichaa tu. Basi.Kwa nn
Kwani ikifuatiliwa na Rais Kuna shida gani mbona kama huna akili kabisaKuna mtu kamuingiza chaka kwa picha za AI na yeye akaingia mzimamzima akaanza kujisifu mahakamani.
Acheni kumhadaa mwenzenu hii kesi ni very serious nyie mnaifanyia commedy
Unafikiri Lisu ni mjinga kama weweKuna sehemu Lisu alisema anafuatiliwa na Rais? Lisu hahitaji huruma ya mtu
Dada angu naona unanitafuta, sasa utapata majibu mabaya sn kwa upande wakoUnafikiri Lisu ni mjinga kama wewe