Nani aliyemwambia 'Kiboko ya Wachawi' akimbie Nchini baada ya Kanisa lake la Kitapeli Buza Kufungiwa?

Vipi kama system ndio imemtonya asepe?
 
Kuna watu wanapitia matatizo kwa muda mrefu, wanehangaika kule na kule bado kufanikiwa,
Wanaambiwa jamaa pale anasaidia ukifika anataka Hela chungu nzima ni rahisi kishawishika hata kwa kucha ha ndugu au kukopa umpe upone.
Watu waache dhambu waishi kwa amani.

Dhambi wanazifanya tena kwa tambo wakijifanya wajuaji. Baadae majuto na matatizo yanawakuta kama Adhabu wanaanza kukimbilia kwa Wachungaji wakidhani watapata Suluhu.

Msingi mkubwa wa yote haya ni Dhambi.
 
NADILIKI KUSEMA ADHARANI KUWA WAKRISTO HAWANA AKILI KABISA YAANI NI WAPUMBAVU HASWA ....NDIYO MAANA WANAWAFUATA MITUME FEKI KINA KAKOBE MWAMPOSA GAMANYWA NK NA INJILI ZAO FEKI ZA SHETANI MWENYE NAFSI TATU.
 
.wala hatumii uchawi ni ujanja tu. Anakutana na mtu amejaza gunia la maovu na dhambi kibao zimemu-elemea sasa anatafuta kutua mzigo.
Nabii anaanza kwa kumhoji mhusika anafanya kazi gani au biashara gani. Kupitia majibu yake tayari anajua huyu mtu category ya kipato chake.
 
NADILIKI KUSEMA ADHARANI KUWA WAKRISTO HAWANA AKILI KABISA YAANI NI WAPUMBAVU HASWA ....NDIYO MAANA WANAWAFUATA MITUME FEKI KINA KAKOBE MWAMPOSA GAMANYWA NK NA INJILI ZAO FEKI ZA SHETANI MWENYE NAFSI TATU.
Gamanywa sijawahi kumwelewa. Hata anavyofundisha ni kama yeye mwenyewe hajua na anababaisha sana. Ila sasa wafuasi wake huwambii kitu. Yeye na Mzee wa Malango na Mzaliwa wa kwanza ni Bla bla tupu.
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ila kimsingi jamaa bado yupo Tanzania amejificha tu .

Mali zake aliandikisha kwa mke wake maana yeye ni mapare mtanzania

USSR
Ndivyo wanavyofanya hao wakongoman.

Wanaoa mali wanaandikisha kwa wake na watoto zao.
 
Nilitamani aendelee kuwepo ili aendelee kuwakamua wavivu wanaotaka maisha rahisi rahisi bila kuvuja jasho.

Leo mtoto wa kiume na ndevu zake anakaa chumbani ananunua bundle la jero anategemea a-type ”amen” kwenye mitandao ya kijamii kesho aamke millionaire au anaenda kununua mafuta aogee eti yatampa utajiri yani mimi nasema hao watapigwa kama ngoma waje kuamka hao wanaowapiga wameshabuni biashara nyingine na wao wapo pale pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…