Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Vipi kama system ndio imemtonya asepe?Taarifa za uhakika ni kwamba Kakimbia nchini baada ya kuambiwa kuwa angeweza Kukamatwa hasa baada ya baadhi ya Waumini waliokuwa Wakisali pale Kwake kulalamika kuwa Wametapeliwa nae sana huku Wengine wakitaka Kumshtaki kwa kusababisha Ndoa zao Kuvunjika na Familia zao kuwa katika Uadui na Chuki kubwa kutokana na Mahubiri yake ya Chuki na Fitina.
Na GENTAMYCINE nauliza kwanini System ya nchi haraka sana haikuamua Kumchunga ili asikimbie kama alivyofanya?