Umeuliza uchache wa vitu vyangu nami nikasema kwa ufupi tu kuwa, madamu sivipati kwa dhuluma, najidai navyo na ninaamani ya moyoKwani nimekuuliza ulikoiba?
Unaanza kujishtukia hata hujaulizwa!
politics is all about interests πSiku zote fisadi ni kama mtu kipofu asiyeelewa wala kujua kama naye ni mtu wa kufa kama ilivyo kwa wengine
Kazi kubwa kwao ni kuiba na kukusanya mali pasipo kujua uhalali wa makusanyo hayo, kwa bahati mbaya kabisa, hata wakiwa navyo vyote, bado watataka na kingine kutoka mahali popote na kwa gharama zozote
Mtu kama huyo, aweza vipi kutaka kutawaliwa na mtu mwenye kumzuia asifanye hicho?
Mtu kama huyo, atakubaliana vipi kuwa na kiongozi mwenye huluka ya kina Magufuli ambaye hatukubali uchotwaji wa kodi za Watanzania na kujimilkisha mali pasipo uhalali?
Hata ukiniamsha usiku wa manane ukaniuliza, ni kina nani walikuwa kwenye vita kali na JPM ya ama yeye ama wao, ni mafisadi including na wanufaika wa watumishi hewa, na vyeti feki wenyewe, hawa ndio aalioongoza kumchukia Magufuli na mpaka leo hawana hamu na jina hilo
Ni ujinga kuamishwa na watu hawa eti Magufuli alikuwa kiongozi mbaya, mtu ambaye amefanta mambo mengi, makubwa na ya kushangaza katika nchi hii na kwa muda mfupi mno
Mambo aliyofanya Magufuli yanafahamika vema na kila mtanzania awe wa kawaida kabisa anayajua
Mafisadi kila leo wamekuwa wakijaribu kuwaaminisha wananchi kwamba, Magufulì hakuwa lolote, wakati huo huo kwa sasa ndio wanapiga pesa na kutapika maneno yao hayo mbofu mbofu
Kama Mungu aishivyo, Bado Watanzania wenye nia njema na nchi hii, Mungu atawapatia tena kiongozi mwenye kuchukia dhuluma na kuwadhibiti majangili ya nchi hii
What word did you want to add, sir, I don't understand you very well, sir, the Queen's language is a problepolitics is all about interests π
what is your interest in political leadership?
was Pres. JK.Nyerere, H.Mwinyi, Ben Mkapa, JM.Kikwete and JPM political interests the same to incumbent SSH interestes?
Umeuliza uchache wa vitu vyangu nami nikasema kwa ufupi tu kuwa, madamu sivipati kwa dhuluma, najidai navyo na ninaamani ya moyo
Kwako wewe ambaye hujaamua kuishi kwa haki, Tengeneza maisha yako na uanze kuamini kuwa, vyakwako ni vingi na vyenye baraka kuliko vya dhuluma
Maisha menyewe mafupi, leo upo kesho hupo, lipa halali zote za kaisali ili usipate tabu tabu tena aingiapo kiongozi kama JPM
sore exqwizi miWhat word did you want to add, sir, I don't understand you very well, sir, the Queen's language is a proble
Rip shujaaSiku zote fisadi ni kama mtu kipofu asiyeelewa wala kujua kama naye ni mtu wa kufa kama ilivyo kwa wengine
Kazi kubwa kwao ni kuiba na kukusanya mali pasipo kujua uhalali wa makusanyo hayo, kwa bahati mbaya kabisa, hata wakiwa navyo vyote, bado watataka na kingine kutoka mahali popote na kwa gharama zozote
Mtu kama huyo, aweza vipi kutaka kutawaliwa na mtu mwenye kumzuia asifanye hicho?
Mtu kama huyo, atakubaliana vipi na kiongozi mwenye huluka ya kina Magufuli ambaye hatakubali uchotwaji wa kodi za Watanzania na kujimilkisha mali pasipo uhalali?
Hata ukiniamsha usiku wa manane ukaniuliza, ni kina nani walikuwa kwenye vita kali na JPM ya ama yeye ama wao ni mafisadi including na wanufaika wa watumishi hewa, vyeti feki pia, hawa ndio walioongoza kumchukia Magufuli na mpaka leo hawana hamu na jina lake
Ni ujinga kuamishwa na watu hawa eti Magufuli alikuwa kiongozi mbaya, mtu ambaye alifanya mambo mengi na makubwa na ya kushangaza kwenye nchi hii na kwa muda mfupi? Wataendelea kuwa wale wale na bahati mbaya hawajaweza na hawataweza kuwashawishi na wengine waamini huo msimamo na uwongo wao, kwa bahati mbaya kabisa, kila mwananchi hakuambiwa tazama, waliona, na waliyaishi mazuri yake na mpaka sasa bado wanajivunia!
Mambo aliyofanya Magufuli yanafahamika vema na kila mtanzania
Mafisadi kila leo wamekuwa wakijaribu kuwaaminisha wananchi kwamba, Magufulì hakuwa lolote, wakati huo huo kwa sasa ndio wanapiga pesa na kutapika maneno yao hayo mbofu mbofu
Kama Mungu aishivyo, Bado Watanzania wenye nia njema na nchi hii, Mungu atawapatia tena kiongozi mwenye kuchukia dhuluma na kuwadhibiti majangili ya nchi hii
We poyoyo kamfuate huyo mfu wako aliyeharibu nchi yetu. We ni zumbuku usiyeelewa chochote. Unajua ni mafisadi wangapi aliwatengeneza kipindi chake? Lile.lilikuwa fisadi haswa sema aliweza kuwapumbaza majinga km wewe.Siku zote fisadi ni kama mtu kipofu asiyeelewa wala kujua kama naye ni mtu wa kufa kama ilivyo kwa wengine
Kazi kubwa kwao ni kuiba na kukusanya mali pasipo kujua uhalali wa makusanyo hayo, kwa bahati mbaya kabisa, hata wakiwa navyo vyote, bado watataka na kingine kutoka mahali popote na kwa gharama zozote
Mtu kama huyo, aweza vipi kutaka kutawaliwa na mtu mwenye kumzuia asifanye hicho?
Mtu kama huyo, atakubaliana vipi na kiongozi mwenye huluka ya kina Magufuli ambaye hatakubali uchotwaji wa kodi za Watanzania na kujimilkisha mali pasipo uhalali?
Hata ukiniamsha usiku wa manane ukaniuliza, ni kina nani walikuwa kwenye vita kali na JPM ya ama yeye ama wao ni mafisadi including na wanufaika wa watumishi hewa, vyeti feki pia, hawa ndio walioongoza kumchukia Magufuli na mpaka leo hawana hamu na jina lake
Ni ujinga kuamishwa na watu hawa eti Magufuli alikuwa kiongozi mbaya, mtu ambaye alifanya mambo mengi na makubwa na ya kushangaza kwenye nchi hii na kwa muda mfupi? Wataendelea kuwa wale wale na bahati mbaya hawajaweza na hawataweza kuwashawishi na wengine waamini huo msimamo na uwongo wao, kwa bahati mbaya kabisa, kila mwananchi hakuambiwa tazama, waliona, na waliyaishi mazuri yake na mpaka sasa bado wanajivunia!
Mambo aliyofanya Magufuli yanafahamika vema na kila mtanzania
Mafisadi kila leo wamekuwa wakijaribu kuwaaminisha wananchi kwamba, Magufulì hakuwa lolote, wakati huo huo kwa sasa ndio wanapiga pesa na kutapika maneno yao hayo mbofu mbofu
Kama Mungu aishivyo, Bado Watanzania wenye nia njema na nchi hii, Mungu atawapatia tena kiongozi mwenye kuchukia dhuluma na kuwadhibiti majangili ya nchi hii
Peleka ujinga wako huko ,nyie vilaza ndio mnaturudisha nyuma sanaWe poyoyo kamfuate huyo mfu wako aliyeharibu nchi yetu. We ni zumbuku usiyeelewa chochote. Unajua ni mafisadi wangapi aliwatengeneza kipindi chake? Lile.lilikuwa fisadi haswa sema aliweza kuwapumbaza majinga km wewe.
HUyo bwege hawezi kukutajia hata barabara moja. Aliyejenga barabara nchi hii ni JK Magu akiwa kiranja tu wa kusimamia."...amefanta mambo mengi, makubwa na ya kushangaza katika nchi hii na kwa muda mfupi mno.."
Huu ππ msemo huwa unanikera sana.
Kwa sababu hata mkiulizwa hayo mambo ni yapi mtaishia kusema barabara na madaraja.
Lakini mnasahau ule msemo wa vyuma kukaza cement kupanda bei, watu kupotea, fedha kuadimika, biashara kufungwa n.k.
Hivi barabara ina faida gani iwapo huna hela ya kununulia gari?
Daraja linakufaidisha nini iwapo huna nauli ya kupita?
Acheni kumtukuza mtu kama Mungu. Mwacheni apumzike.
Mnasifia mtu kama vile tuliobaki ni wajinga tusiojielewa.
We mbwa mlaumu mamako, kwanza kuwa mpumbavu, pili kuwa maskini mpaka leo.Peleka ujinga wako huko ,nyie vilaza ndio mnaturudisha nyuma sana
Asiyekujua nani weye?We poyoyo kamfuate huyo mfu wako aliyeharibu nchi yetu. We ni zumbuku usiyeelewa chochote. Unajua ni mafisadi wangapi aliwatengeneza kipindi chake? Lile.lilikuwa fisadi haswa sema aliweza kuwapumbaza majinga km wewe.
Wajinga bhana, hupati shida kuwafahamu, maamake kaingiaje hapa kama siyo ujinga wako saigilomagemaWe mbwa mlaumu mamako, kwanza kuwa mpumbavu, pili kuwa maskini mpaka leo.
Sasa nani asiyejua we ni zaidi ya maviSina muda mchafu na vilaza nyinyi
Jifunze kufuatilia na kujua mamboHi
HUyo bwege hawezi kukutajia hata barabara moja. Aliyejenga barabara nchi hii ni JK Magu akiwa kiranja tu wa kusimamia.
What is their interest? Kila mmoja,wao alikuwa na interests tofauti.politics is all about interests π
what is your interest in political leadership?
was Pres. JK.Nyerere, H.Mwinyi, Ben Mkapa, JM.Kikwete and JPM political interests the same to incumbent SSH interestes?
sasa si ndivyo siasa ilivyo kila moja anakua na kipaumbele chake πWhat is their interest? Kila mmoja,wao alikuwa na interests tofauti.
Unamuweka Kilaza kwenye umeme miaka mitatu, unafukuza machinga, unachoma masoko, unaruhusu mfumuko wa bei, miradi ya kimkakati kusuasua.
SSH interests zake kwa Wantanzania ni zipi?