Nani aliyesema mafisadi wanaweza kutaka kiongozi mwenye kuwadhibiti? Kati yao, nani atake tena kiongozi kama Magufuli?

Kwani nimekuuliza ulikoiba?

Unaanza kujishtukia hata hujaulizwa!
Umeuliza uchache wa vitu vyangu nami nikasema kwa ufupi tu kuwa, madamu sivipati kwa dhuluma, najidai navyo na ninaamani ya moyo

Kwako wewe ambaye hujaamua kuishi kwa haki, Tengeneza maisha yako na uanze kuamini kuwa, vyakwako ni bora na nivingi na vyenye baraka kuliko vya dhuluma

Maisha menyewe mafupi, leo upo kesho hupo, lipa halali zote za kaisali ili usipate tabu tabu tena aingiapo kiongozi kama JPM
 
Siku zote fisadi ni kama mtu kipofu asiyeelewa wala kujua kama naye ni mtu wa kufa kama ilivyo kwa wengine

Kazi kubwa kwao ni kuiba na kukusanya mali pasipo kujua uhalali wa makusanyo hayo, kwa bahati mbaya kabisa, hata wakiwa navyo vyote, bado watataka na kingine kutoka mahali popote na kwa gharama zozote

Mtu kama huyo, aweza vipi kutaka kutawaliwa na mtu mwenye kumzuia asifanye hicho?

Mtu kama huyo, atakubaliana vipi kuwa na kiongozi mwenye huluka ya kina Magufuli ambaye hatukubali uchotwaji wa kodi za Watanzania na kujimilkisha mali pasipo uhalali?

Hata ukiniamsha usiku wa manane ukaniuliza, ni kina nani walikuwa kwenye vita kali na JPM ya ama yeye ama wao, ni mafisadi including na wanufaika wa watumishi hewa, na vyeti feki wenyewe, hawa ndio aalioongoza kumchukia Magufuli na mpaka leo hawana hamu na jina hilo

Ni ujinga kuamishwa na watu hawa eti Magufuli alikuwa kiongozi mbaya, mtu ambaye amefanta mambo mengi, makubwa na ya kushangaza katika nchi hii na kwa muda mfupi mno

Mambo aliyofanya Magufuli yanafahamika vema na kila mtanzania awe wa kawaida kabisa anayajua

Mafisadi kila leo wamekuwa wakijaribu kuwaaminisha wananchi kwamba, Magufulì hakuwa lolote, wakati huo huo kwa sasa ndio wanapiga pesa na kutapika maneno yao hayo mbofu mbofu

Kama Mungu aishivyo, Bado Watanzania wenye nia njema na nchi hii, Mungu atawapatia tena kiongozi mwenye kuchukia dhuluma na kuwadhibiti majangili ya nchi hii
politics is all about interests 🐒

what is your interest in political leadership?

was Pres. JK.Nyerere, H.Mwinyi, Ben Mkapa, JM.Kikwete and JPM political interests the same to incumbent SSH interestes?
 
What word did you want to add, sir, I don't understand you very well, sir, the Queen's language is a proble
 
Umeuliza uchache wa vitu vyangu nami nikasema kwa ufupi tu kuwa, madamu sivipati kwa dhuluma, najidai navyo na ninaamani ya moyo

Kwako wewe ambaye hujaamua kuishi kwa haki, Tengeneza maisha yako na uanze kuamini kuwa, vyakwako ni vingi na vyenye baraka kuliko vya dhuluma

Maisha menyewe mafupi, leo upo kesho hupo, lipa halali zote za kaisali ili usipate tabu tabu tena aingiapo kiongozi kama JPM

Pole
 
Siku zote fisadi ni kama mtu kipofu asiyeelewa wala kujua kama naye ni mtu wa kufa kama ilivyo kwa wengine

Kazi kubwa kwao ni kuiba na kukusanya mali pasipo kujua uhalali wa makusanyo hayo, kwa bahati mbaya kabisa, hata wakiwa navyo vyote, bado watataka na kingine kutoka mahali popote na kwa gharama zozote

Mtu kama huyo, aweza vipi kutaka kutawaliwa na mtu mwenye kumzuia asifanye hicho?

Mtu kama huyo, atakubaliana vipi na kiongozi mwenye huluka ya kina Magufuli ambaye hatakubali uchotwaji wa kodi za Watanzania na kujimilkisha mali pasipo uhalali?

Hata ukiniamsha usiku wa manane ukaniuliza, ni kina nani walikuwa kwenye vita kali na JPM ya ama yeye ama wao ni mafisadi including na wanufaika wa watumishi hewa, vyeti feki pia, hawa ndio walioongoza kumchukia Magufuli na mpaka leo hawana hamu na jina lake

Ni ujinga kuamishwa na watu hawa eti Magufuli alikuwa kiongozi mbaya, mtu ambaye alifanya mambo mengi na makubwa na ya kushangaza kwenye nchi hii na kwa muda mfupi? Wataendelea kuwa wale wale na bahati mbaya hawajaweza na hawataweza kuwashawishi na wengine waamini huo msimamo na uwongo wao, kwa bahati mbaya kabisa, kila mwananchi hakuambiwa tazama, waliona, na waliyaishi mazuri yake na mpaka sasa bado wanajivunia!

Mambo aliyofanya Magufuli yanafahamika vema na kila mtanzania

Mafisadi kila leo wamekuwa wakijaribu kuwaaminisha wananchi kwamba, Magufulì hakuwa lolote, wakati huo huo kwa sasa ndio wanapiga pesa na kutapika maneno yao hayo mbofu mbofu

Kama Mungu aishivyo, Bado Watanzania wenye nia njema na nchi hii, Mungu atawapatia tena kiongozi mwenye kuchukia dhuluma na kuwadhibiti majangili ya nchi hii
Rip shujaa
 
We poyoyo kamfuate huyo mfu wako aliyeharibu nchi yetu. We ni zumbuku usiyeelewa chochote. Unajua ni mafisadi wangapi aliwatengeneza kipindi chake? Lile.lilikuwa fisadi haswa sema aliweza kuwapumbaza majinga km wewe.
 
Peleka ujinga wako huko ,nyie vilaza ndio mnaturudisha nyuma sana
 
Hi
"...amefanta mambo mengi, makubwa na ya kushangaza katika nchi hii na kwa muda mfupi mno.."

Huu 👆👆 msemo huwa unanikera sana.

Kwa sababu hata mkiulizwa hayo mambo ni yapi mtaishia kusema barabara na madaraja.

Lakini mnasahau ule msemo wa vyuma kukaza cement kupanda bei, watu kupotea, fedha kuadimika, biashara kufungwa n.k.

Hivi barabara ina faida gani iwapo huna hela ya kununulia gari?

Daraja linakufaidisha nini iwapo huna nauli ya kupita?

Acheni kumtukuza mtu kama Mungu. Mwacheni apumzike.

Mnasifia mtu kama vile tuliobaki ni wajinga tusiojielewa.
HUyo bwege hawezi kukutajia hata barabara moja. Aliyejenga barabara nchi hii ni JK Magu akiwa kiranja tu wa kusimamia.
 
We poyoyo kamfuate huyo mfu wako aliyeharibu nchi yetu. We ni zumbuku usiyeelewa chochote. Unajua ni mafisadi wangapi aliwatengeneza kipindi chake? Lile.lilikuwa fisadi haswa sema aliweza kuwapumbaza majinga km wewe.
Asiyekujua nani weye?

Ishi kwa haki
 
politics is all about interests 🐒

what is your interest in political leadership?

was Pres. JK.Nyerere, H.Mwinyi, Ben Mkapa, JM.Kikwete and JPM political interests the same to incumbent SSH interestes?
What is their interest? Kila mmoja,wao alikuwa na interests tofauti.

Unamuweka Kilaza kwenye umeme miaka mitatu, unafukuza machinga, unachoma masoko, unaruhusu mfumuko wa bei, miradi ya kimkakati kusuasua.

SSH interests zake kwa Wantanzania ni zipi?
 
sasa si ndivyo siasa ilivyo kila moja anakua na kipaumbele chake 🐒

kufanikiwa au kafeli kwenye hizo interestes , hilo linabaki kwenye mtazamo na maoni yako ndrugo mchambuzi 🐒

🤣 sasa interests za Dr.SSH unaniuliza mimi tena...

wait next yr utaona interestes za DR SSH dhahiri shahiri ...
na for sure utafurahi na hivi vilio vya umeme sijui garama za maisha zitakua kimya bila tashwishwi yeyote 🐒
 
Back
Top Bottom