Nani aliyetulaani wana wa mkoa wa Mara?

Nani aliyetulaani wana wa mkoa wa Mara?

Mkuu wanafahamu sana wakurya wana wivu uliopitiliza pia majungu
Usidanganye watu wakurya hawapo hivyo. Wakurya hawana tabia ya kuongelea kwapani. Lao ni ndio au hapana na hawabebi umbea Wala majungu. Hao unao wasema wametoka Tarime au? Think again!
 
A
Kuhusu Wakurya Mimi binafsi hunidanganyi. Hawa watu ni wafitini na watu wa kujipendekeza na kuchongea wenzao makazini. Waulize Polisi sasa hivi wanavyolia kwa kuongozwa na Mkurya. Ni wanafiki kuliko kawaida.
Acha uongo na unafiki wewe Bila Bila a.k.a 0 0 IGP Sio mkurya.
 
Mkuu kama hutojali hebu funguka kidogo kuhusu hiyo chui republic. Niliwahi kusikia habari yake wakati flan nikiwa mdogo ila memory ilifuta kwa sasa sikumbuki lolote
Ilikuwa 1978-79 Sidhani Kama ulikuwa duniani wakati huo.
 
Swala la romantic kwao liko kushoto, hafu wabahili hatari mi nilivopewa story zao nikaona uongo Mpaka yaliponikuta mazito
Wewe utakuwa ni kihaba tu, hebu nitajie kabila lolote hapa Tanzania linalogawa pesa tu kama US Aid.
 
Huu uzi ushakuwa wa majungu na mbaya zaidi wanaotoa majungu wanasema watu wa Mara wana majungu, badala ya kujadili hata kwa nini Mkoa wa Mara maendeleo ni ya taratibu mnaanza kutueleza habari za wanaume zenu, kuna mmoja hapa anatokea Tabora lakini kashupaa kusema Mara hakuna maendeleo, nyie dada mkitaka kupost habari za wanaume zenu anzisheni thread nyingine.
Wacha wajifariji, usicheze na stress, hao wanaowasema wana majungu saa hizi bapo banana wanapiga ugali wa muhogo na mix kichuri na ukizinguwa unapewa live hapohapo.

Sijaelewa mtu anaposema eti mtu kama John Heche eti akutete, haya ni maajabu kwakweli.
 
Sina maumivu yeyote coz sikuwa deep kiivyo unavyodhani ww,na ningekuwa na tabia unazosema nisingekuwa nafunga ndoa next month kaka,nilijaribu tu kuwaelezea kuwa watu wa Mara badilikeni kila sector mpo hovyo,na muache kutafuta mchawi wa maendeleo yenu ni nyie wenyewe,
Hizi ndoa za kina Shilole mwanzo na mwisho wake upo wazi kwa kila mtu, ukiweza kudumu miezi 6 fanya jubilee kabisa.
 
Nawakubali Wakurya sana hawana double standards . Wako very straight
Hapo umewatendea haki Wakurya, Mkoa wa mara una lugha na makabila zaidi ya 10 na yana desturi na tabia tofauti kabisa. Ukianzia kwa wajita na wakwaya huko majita hadi kwa wakurya, wasimbiti na wajaluo huko Tarime/Rorya kuna tofauti sana so sio vyema kwa mtoa mada kuongeleaa tabia ya kabila moja toka Mara na akawaunganisha wana mara wote.
 
Hapo umewatendea haki Wakurya, Mkoa wa mara una lugha na makabila zaidi ya 10 na yana desturi na tabia tofauti kabisa. Ukianzia kwa wajita na wakwaya huko majita hadi kwa wakurya, wasimbiti na wajaluo huko Tarime/Rorya kuna tofauti sana so sio vyema kwa mtoa mada kuongeleaa tabia ya kabila moja toka Mara na akawaunganisha wana mara wote.
Soma upya mada inasemaje? Mtoa mada amehoji maendeleo ya mkoa wa Mara na hajaongelea kabila hata moja, ila nyege za wachangiaji ndio wameingiza makabila without knowing how, na kuna malaya wawili humu wamepigwa chini na jamaa kutoka huko Mara hasira zao na stress zao wamekuja kuzituwa humu.
 
Tatizo kubwa la watu wa Musoma ni ubaguzi ulioegemea kwenye koo, na kabila, mfano Wakurya wamewagawanyika zaidi ya koo 10 na wanabaguana hasa yaani akitokea kiongozi kwenye koo fulani hapewi ushirikiano na koo nyingine, hata makabila ni hivyo hivyo. Ukweli ni kwamba watu wa Mara hawapendani kwa misingi hiyo hasa kutokana uhasama wa koo na koo au kabila na kabila.
Mumuogope Mungu, mbona mnayoyaongea mimi mkurya (Mwireghi) wa kijiji cha Itiryo wilaya ya Tarime siyaoni? Unajua asili ya koo katika makabila mengi ya Tanzania? Unajua kwa nini tulikuwa na mapigano ya koo? unadhani ni chuki miongoni mwetu? wakulima na wafugaji wanvyopigana ni kwa sababu ni koo tofauti ndani ya kabila moja? Mbona wanaJF wanaparurana kila siku humu kwa sababu ya itikadi zao za kisiasa tena kwa matusi mazito sana, wangekuwa wanaonana uso kwa uso si ingekuwa balaa. mbona waireghi, watimbaru, wanyabhasi na koo zingine tunaishi vizuri sana, tunaoana, tunafanya biashara pamoja tena kipindi hiki ambako wizi wa mifugo haupo kwani imeisha. Wakati mwingine ni vizuri kuchangia kitu ulicho na hakika nacho, si tu umezaliwa unasikia wakurya wakorofi na wewe unaamini hivyo hivyo, mambo yanabadilika sana. Tatizo la wakurya hawapendi longolongo akipewa ofisi walozoea misheni town wanakiona cha moto, na sisi wabongo wengi tulishazoea dili. Mwisho Wakurya ni miongoni mwa makabila mazuri na rahisi sana kuishi nao ukiacha matatizo machache kama ya domestic violence na haya yanaendela kupungua
 
Soma upya mada inasemaje? Mtoa mada amehoji maendeleo ya mkoa wa Mara na hajaongelea kabila hata moja, ila nyege za wachangiaji ndio wameingiza makabila without knowing how, na kuna malaya wawili humu wamepigwa chini na jamaa kutoka huko Mara hasira zao na stress zao wamekuja kuzituwa humu.
Na mimi sikuwa namjibu mtoa mada, kuna wachangiaji wameamua kuattack kabila moja na kunitoa kwenye mada. Nikiwa muhusika wa hilo kabila naona si sahihi. Nimekupata mkuu
 
Na mimi sikuwa namjibu mtoa mada, kuna wachangiaji wameamua kuattack kabila moja na kunitoa kwenye mada. Nikiwa muhusika wa hilo kabila naona si sahihi. Nimekupata mkuu
Mwanaume yeyote rijali angetamani azaliwe Mkurya ila ndio hivyo kuzaliwa ni jambo auto sawa na mimi nilitamani nizaliwe Finland ila haikuwa hivyo.
 
MARA HAKUNA KITU.
Moja ya mkoa wenye historia lakini hakuna jambo lolote lenye kuleta hisia kutokana na historia yake.
.....
Mkoa wa Mara ni mmoja kati ya mikoa yenye makabila zaidi ya mawili ambapo katika ufuatiliaji wa kimatabaka na ushirikishanaji wa wananchi, umeonekana upo nyuma sana, kutokana na sababu kadhaa.
.....
Wakaazi wa Mara kama wajita, waruli, wakwaya, wajaluo nk haya ni makabila (baadhi) yenye nafsi choyo, isiyo shirikishi, isiyo penda mwingine apate, yaani hata uchawi utalaogwa tu usifikie lengo.
.....
Nimeona baadhi ya majina ya watu waliowahi kushika mpini wakiwa ndani ya government ya JMT hao wote wapo katika moja ya tunu ya shetani nilizotaja hapo juu so hata kesho ni vigumu kukuta mtu (baadhi) kabila kutoka mara akampa mwenzake support kufikia lengo/matarajio.
....
Mkoa wa Mara hauwezi kujengwa na watu wa mkoa huo labda wageni, kwanza vijana wengi waliotoka huko wanaogopa kurudi kufanya investment kwao wakiwa na hofu nilizotaja hapo juu.
.....
Mfano: kuna baadhi ya wakaazi (businessman/women, leaders, raia wa kawaida nk) wa jiji la Dar waliwahi kuandaa malengo kazi na maendeleo kwa mkoa wa Mara hakuna kitu kilichofikiwa mpaka kesho.
....
MAONI: Nawashauli wananchi kutoka mkoa wa Mara muombe Mungu awabadilishe na muache mambo haya, KIBURI, UJUAJI, KUSENGENYA, KUTETANA, nawaapia mkiacha hizo nk basi neema tele.
Kwani mnatumia vigezo gani kusema mkoa wa Mara uko nyuma kimaendeleo? mbona ndio hali halisi ya nchi hii?kuna mkoa usiokuwa na imani za kishirikina nchi hii? Hizo rasilimali kama madini zingewanufaishaje wana Mara kama zilikuwa mikononi mwa wageni? Wakati biashara ya sangara ikiwa kwenye peak wavuvi walikuwa wakiuza kilo moja kwa Sh 600 hadi 1000. Wenye viwanda wakichakata na kupeleka ulaya wanauza USD 20 kwa 1kg. Tarime tulikuwa tunalima kahawa sana, lakini chama kikuu cha ushirika (Mara cooperative union- MCU 1984) kwa kushilikiana na serikali wakakiua kwa kuwakopa wakulima kahawa bila kulipa, wakaacha kulima kwani huwa hatupendi upumbavu. Wilaya ya Rorya na Musoma vijijini ni wilaya zenye ardhi duni sana na walitegemea ziwa victoria (samaki hakuna) wamefaidi wahindi na wabongo wachache (Mawakala).
 
Mutatigha ubhukangi bhare bhachabhani, weito Mara itarenge igho mokogheghamba, yaani mnaongea kitu msichokijua na mnafanya analysis ya uongo, Mara tupovizur na tunaendana na jins uchumi unavyokuwa na jinsi vipato vya wanamara vinavyoruhusu, ivi ni mkoa gan ambao hauna ushirikina? Ni mkoa gan ambao hauna maeneo ya vijijin na watu maskin? Nazan hapa tujadili kwa muktaza wa uharisia wa maisha ya mtanzania na sio kusema Mara ilikuwa na viongoz BT maendeleo hakuna, kwanza uliesema Mara hakuna maendeleo labda utuambie ulimaanisha maendeleo yapi? Coz kama ni fursa za biashara, kilimo, ufugaji, zote zipo, haya miundombinu ipo main road sirari to mwanza,3airports nyamongo, musoma na mugumu, kuna bandar musoma, secondary schools A level and o level za kutosha, university IPO, vyuo vya diploma na certificate vya kila fani vipo, kama ni wasomi wapo wa kutosha. Au we mleta mada ulitaka Mara iweje ?
Labda ni mtani wa kabila mojawapo Mara, hawajui Mara kuna makabila mengi pengine kuliko mkoa mwingine wowote hapa Tanzania. Sasa mtu kafanya kazi na mtu mmoja au wawili inakuwa kama amefanya kazi na makabila yote. sisi Wakurya ni miongoni mwa watu wasio na unafiki wala longolongo.
 
Nakuunga mkono,wilaya inayoendelea katika mkoa wa Mara ni wilaya ya Tarime,Tarime mjini imejengeka vizuri,nimezunguka mkoa wa Mara wote, afadhali Tarime,licha ya mji wa Tarime kuwa katika katika mpangilio mzuri, pia wananchi wanamaendeleo mazuri,hospitals na vituo vya afya ni vingi sana,shule za kata,kuna kata ina shule zaidi ya tatu,wananchi wa Tarime kuna aina fulani ya kuhamasishana na kufanya maendeleo,wanaita (saiga) hao watu wakiamua hata kujenga shule mpya ndani ya mwaka mmoja huwa imekamilika,Tarime ina miji midogo miwili na sio kwamba ni midogo kivile,ni mikubwa inaenda kulingana na misungwi au Maswa,au meatu,miji hiyo ni Sirari na Nyamongo, ila Musoma mjini,Butiama,Vijijini hao ndo watu wa majungu,nimetembea musoma mjini kwa kweli ule mji umechoka sana,mkoa wa Mara una makabila mengi tu kama Wazanaki,wakurya,wajita,wajeluo,waikoma,wangoreme,waikizu na vikabila bingine vidogo ila wakurya ndo kabila ambalo watu wake wanamaendeleo, kuna hawa wajeluo nilifikapo huko Rorya,vijana wakijeluo ni kucheza madisko vumbi,karata,na pool,senta za Rorya zimechoka sana,ndo maana wengi wao wamekimbilia kuishi Tarime na baadhi ya maeneo ya Serengeti,yaani hakuna kabila nililodharau kama wajeluo,hawana muda na maendeleo yao binafsi,nyumba za tembe za nyasi ni nyingi sana Rorya,licha ya kuwa na ziwa Victoria lakini vijana wapatapo hela ni kuhonga,senta za uvuvi za Rorya zimechoka sana,nimewahi kufika sehemu moja inaitwa Sota ni senta ya uvuvi,du nilishka kiuno,imechoka sana,mji wa shirati upo karibu na ziwa kama km 10 kutoka ziwani,ndo usiseme umechoka sana,watu wa Rorya,musoma Vijijini,na mjini kiukweli mnaebisha mkoa wa Mara,tatizo la wakurya ni kuibiana ng'ombe ambao hupelekea koo kupigana,ila hayo mengine wapo vizuri
Umenena vyema sana na kweli umefika tarime/Rorya, hii ndo hali halisi na wachangiaji wengine wajifunze kuacha kuokota maneno na kujifanya wajuaji kumbe hakuna kitu. Sota imechoka kwa kuwa samaki nao wameisha na ardhi ya kilimo ni duni sna na sio wafugaji. Naamini ulipita centre ya Kabwana pia kuna hospital nzuri sana. Miaka ya 1980 hadi tisini wakati machimbo ya dhahabu Nyamongo yakiwa mikononi mwa wananchi ndo wakati mji wa Tarime uliamka na kuchangamka, walivyobinafsisha mgodi, wakaua kilimo cha kahawa, tukaibiana ng'ombe kupeleka Kenya kidogo tuliyumba. Lakini tunasonga mbele
 
Labda ni mtani wa kabila mojawapo Mara, hawajui Mara kuna makabila mengi pengine kuliko mkoa mwingine wowote hapa Tanzania. Sasa mtu kafanya kazi na mtu mmoja au wawili inakuwa kama amefanya kazi na makabila yote. sisi Wakurya ni miongoni mwa watu wasio na unafiki wala longolongo.
Wabongo wengi ni watu wa kukariri tu, ni sawa na imani ya kijinga kusema wahehe wanakula mbwa mnyama wakati kwao mbwa maana yake ni maharage,

Au kuwasifu wachaga wizi wakati wachaga wengi wapo smart na Muhimbili ina madaktari wengi wachaga wanaokoa maisha yao kila siku nyau hawa.

Dar es salaam au Mzizima ni ya Wazaramo, kwa ukarimu wa Wazaramo kuwakaribisha hawa nyau sasa hivi kila siku wanawadharau Wazaramo kwa kuwakaribisha kwenye Bandari salama yao.

JF zamani ilikuwa ni kisima cha fikra pevu lakini sasa kimejaa wahanga wa stress za maisha hasa baada ya mchina na ujio wake wa Smartphone za bei poa imekuwa tabu wanafunzi wanaacha kufanya home work zao nao wajifanya wajuwsji shenzi kabisa.
 
Wabongo wengi ni watu wa kukariri tu, ni sawa na imani ya kijinga kusema wahehe wanakula mbwa mnyama wakati kwao mbwa maana yake ni maharage,

Au kuwasifu wachaga wizi wakati wachaga wengi wapo smart na Muhimbili ina madaktari wengi wachaga wanaokoa maisha yao kila siku nyau hawa.

Dar es salaam au Mzizima ni ya Wazaramo, kwa ukarimu wa Wazaramo kuwakaribisha hawa nyau sasa hivi kila siku wanawadharau Wazaramo kwa kuwakaribisha kwenye Bandari salama yao.

JF zamani ilikuwa ni kisima cha fikra pevu lakini sasa kimejaa wahanga wa stress za maisha hasa baada ya mchina na ujio wake wa Smartphone za bei poa imekuwa tabu wanafunzi wanaacha kufanya home work zao nao wajifanya wajuwsji shenzi kabisa.
Mkuu umenena kweli kabisa, miaka ya hivi karibuni kuna watoto wachache wamefanya humu kama kijiwe cha wahuni tu. Huwa napitia thread nyingi kila siku baada ya kazi na huwa nasikitika sana. Ingawa wengi bado wanatoa michango mizuri na mizito na ndo maana lazima nipite humu. Hii thread ya leo imenilazimu kucomment kwani bahadhi wanaongea uongo usio na lazima yoyote
 
Back
Top Bottom