NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #61
Ulitaka anitukane nikae kimyaNimezielewa sana hoja za CAPO DELGADO, lakini nimeshangazwa sana na matusi yake na matusi ya huyu NALIA NGWENA, hasa pale waliposhirikisha wazazi.
Hakuna kitu Kama hicho na timu zingine za nje zinajiandaaje??Huu mfumo, Karia, ameuiga kutoka SFF ya Somalia. Nia yake, eti, ni kuzipa hizi timu matayarisho mazuri kabla ya cafcl na cafcc
Ubunifu gani sasaKwani lazima kila kitu tufanye km wazungu?
Hatuwezi kufanya ubunifu wetu kutokana na mazingira yetu?
Kama anataka hela nyingi aweke timu kumi Sasa tujue moja Kama anaona mechi moja haitoshi.Hela zinazopatikana kwenye Ngao ya Jamii.
Ni kwaajili ya hisani.
HISANI NI KUTOA SADAKA, MISAADA KWA WATU WENYE MAHITAJI MAALUMU. ( Special group)
Fedha yote 100%
INATAKIWA ipelekwe kwa makundi kama.
1. WATOTO yatima.
2. Wazee.
3. Wafungwa.
4. WAKIMBIZI.
5. Wenye MATATIZO ya NGOZI, walemavu nk.
1. Kwani mkuu, miaka yote nyuma wakati hii ngao ya hisani inafanyika pesa zilikuwa hazipatikani?
2. Ligi hii inachezwa mikoa karibu yote, tuna hadi ligi za wilaya na mikoa n.k unaona kabisa mpira ukisambazwa kwa match hizi za team 4 Tanzania nzima?
3. Team zinajiandaa na pre season mkuu, ndio maana Simba walikuwa Uturuki, Yanga Avic na hao wengine pia wamecheza match nyingi tu za pre season mfano Azam
Kiuhalisia kuna siasa tu hapo na watu wapige hela, hakuna jipya wala njia yoyote ya maana kusema italeta impact katika mpira
Unaelezwa halafu unaleta ubishi!
Kwani zikiwa nyingi unaogopa nini?Kama anataka hela nyingi aweke timu kumi Sasa tujue moja Kama anaona mechi moja haitoshi.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unajua maana ya ubishi au wew ndiyo umekuja kubisha??Unaelezwa halafu unaleta ubishi!
Kama anataka hela nyingi aweke timu kumi Sasa tujue moja Kama anaona mechi moja haitoshi.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wapi nilipoandika naogopa??Kwani zikiwa nyingi unaogopa nini?
Huwez kumtukana mtu anapo hoji maswala kama haya.TATIZO HUNA AKILI.
LENGO Lakuaandaa Ngao ya Jamii.
1. Kuziandaa mapema kiushindanina vizuri timu zinazoshiriki mashindano ya kimataifa Simba, yanga, Azam na singida.
Kuziandaa kucheza MICHEZO migumu,
Kujua madhaifu Yao nk.
2. Kuongeza mapato ya hisani kwaajili ya kusaidia WATU WENYE nahitaji .
Ongezeko la Mapato linaweza kupelekea hata ujezni WA Hospital kubwa nk
3. Kuongeza Kutanua zaidi mpira, kwa kuwa na Mashindano Mengi.
WAJINGA KAMA NYIE HAMUWEZI KUONA FAIDA ZA NGAO YA JAMII.
ELIMU, ELIMU, ELIMU
Kwani kabla ya huu mfumo timu zilikua zinajiandaa vipi??We niliisga KUONA akili yako.
Iyo hoja ya kuziandaa timu zinazoshiri mashindano ya kimataifa huioni???
Vitu vingine tusijidhalilishe sana jamani.
AIBU.
Huwez kumtukana mtu anapo hoji maswala kama haya.
Mkuu kama hoja ni kuziandaa na Michuano za kimataifa why kuna pre season na huko kwenye michuano utacheza na Yanga??
Kwenye michuano unacheza na waarabu bas walete nao wacheze.
Pili kuongeza mapato gani ya siku mbili au siku moja yani Team inafungwa kwaheri?
Hivi ni wewe kweli unayesema kuwa huwezi jenga hoja bila kutukana na huku wewe huyo huyo umelishindwa hilo?Ulitaka anitukane nikae kimya
Hakuna kitu Kama hicho kwani hawezi kujenga hoja bila ya kutukana wenzie Sina unyonge wa kijinga wa kunyamaza.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sheria za mpira zipo 17 na hazibadiliki kokote duniani ila kanuni zinabadilishwa kila sikuKama ni hivyo mbona sheria zote za mchezo wa soka ni za kizungu? Kwanini tusianzishe na zetu kutokana na mazingira yetu?
Hoja dhaifu sana hii mkuu
Mara hii unajifanya hujui!? Soma uzi wako tena.
Kwa akili yako,asilimia mia inapelekwa huko?Labda si wabongo.Hela zinazopatikana kwenye Ngao ya Jamii.
Ni kwaajili ya hisani.
HISANI NI KUTOA SADAKA, MISAADA KWA WATU WENYE MAHITAJI MAALUMU. ( Special group)
Fedha yote 100%
INATAKIWA ipelekwe kwa makundi kama.
1. WATOTO yatima.
2. Wazee.
3. Wafungwa.
4. WAKIMBIZI.
5. Wenye MATATIZO ya NGOZI, walemavu nk.
Tena sadaka ndo zinaliwa vizuri.Maana watu wanaamini kweli zilitolewa sadaka Kwenye kila milllion moja laki tatu sadaka,laki saba mifukoni mwa wapigaji.Asante kwa Uandishi mzuri na upangiliaji WA hoja.
1. Pesa za mchezo mmoja ni tofauti na pesa za MICHEZO MITATU. Kama mchezo mmoja unazalisha Milioni 200 michezo MITATU itazalisha Fedha nyingi zaidi Milioni 600
Mala tatu ya mchezo mmoja.
2. LIGI zinachezwa lakini ni tofauti.
Simba na yanga ni habari nyingine, Simba na Azam ni timu Nzuri.
Zina mashabiki Kila kona ya nchi,
WATU watatamani NAO WAWE wanaziona kwenye Mikoa Yao.
WATAKUWA serious kupandisha timu ZAO kwenye LIGI KUU.
3. Maandalizi ya pre season na mchezo WA Dakika tisini WA mashindano ni vitu viwili tofauti.
Simba walikwenda UTURUKI kwa Malengo....
i. Wachezaji kuwa na stamina pumzi NGUVU.
ii. Kupata mazingira tulivy kwa maandalizi ya MSIMU.
iii. KUISHI karibu na Miundombinu Bora.
Pre season ni kuipa miwili Mazoezi Magumu mno, pumzi, NGUVU, uimara, chakula KIZURI kwa Mazoezi, nguvu, kutokuumia, ma gym machuma,
KUUTANGAZA timu nk
Pre season sio Mechi dk 90.
Ni maandalizi ya dk 90
Baada ya kucheza Mechi ndipo unaji asses preseason kama.
Wachezaji hawachoki, wananguvu, wanaelewana, Wana Kasi unayoitaka, wanaruka vizuri nk nk nk.
HILI LA SIASA SILIJUI.
NINACHOJUA MIMI NGAO YA JAMII NI KUPELEKA SADAKA KWA WAHITAJI.
TENA 100%
KAMA WEZI NI WAO ILA LENGO LA FIFA NI KUIRUDISHI JAMII, KUTAMBUA MCHANGO WAO, KUIFARIJI JAMII NK
Yani TFF hii hii waandae mechi halafu 100% ya mapato watowe sadaka?Asante kwa Uandishi mzuri na upangiliaji WA hoja.