Nani ameiroga Afrika, Zimbabwe imetuma wanamichezo 9 na viongozi 67 Paris kwenye mashindano ya Olympics

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Wakati wakipita juu ya mto wakiwa kwenye boti kila mmoja alijiuliza mbona wengi sana baadaye inatoka taarifa kuwa wanamichezo ni 9 na ma-afsa wa serikali kutoka wizara mbalimbali ni 67 na watakaa kwa siku 16 zote za olimpiki hapa paris.

Sijajua Bongo aka nchi ya kitu kidogo tumepeleka wangapi maana wasanii tu tunapeleka nje kwa kodi zetu , MUNGU ATUSAIDIE


USSR
 

Attachments

  • FB_IMG_1722053742912.jpg
    33.2 KB · Views: 2
Mwafrika kwenda Ulaya kwa mabwana wakubwa zake ni sifa kubwa.

Sote tuna uhuru wa kujiliwaza tu, lakini tunaendeshwa na wazungu, tena tulivyotawaliwa sasa kiutumwa mambo leo ni pabaya zaidi kuliko utumwa wa kununuliwa kwa shanga na vioo.

Tumejazwa ujinga na umetujaa.
 
Nyie mmepeleka wanamicheozo wangapi?
Hivi unaona Watanzania siyo Waafrika?

Sisi ndiyo afadhali ya Wazimbabwe hata tukipeleka wawili tu.

Nchi tuliyodanganywa na Rais wa kwanza kuwa tunajitawala kumbe Ikulu kuna mzungu anaiendesha nchi kwa miaka yote unatuona wa maana sana?

Tanzania ni wanafik wakubwa.
 
Wanamichezo 9 na waliobaki 67?!🤔🫢
 
Wale wasanii mnao wapeleka Korea Kusini kwenda kujichekesha chekesha vipi? wana tija kwa Taifa? Raisi alifanya Ziara India na Deligate kubwa kuliko ya wenyeji, yaani Ukumbi ulijaaa wageni kana kwamba mkutano unafanyukia Mlimani city kumbe ni New Delh India.

Ziara za Raisi nje ya nchi zimejaaa idadi ya watu wanao bebwa tu wakale Bata kwenye Ziara na hawana tija kwa Taifa. Ni bora hata hao Wazimbabwe.
 
Hivvi ulifikiri Tanzania gtupo "exceptional" kwa ujinga?

Ikiwa tumeweza kudanganywa kuwa tupo huru na kuongozwa na mzungu kwa miaka 24 au zaidi, akiwa ndani ya Ikulu ya Dar, unafikiri ujinga umetutoka lini?
 
Wewe mwenyewe huwa unajipapatua umesomea/umesomeshwa Canada
 
ZANU PF ni sawa tu na CCM wajamaa uchwara
 
Naomba usaidie kufafanua hapa mpendwa wangu.
 
Hehehe unawacheka wazimbabwe wakati Azerbeijan ilipeleka Peru wasanii kusaini mikataba ya kiuchumi? Kwenye mkutano unakuta Kuna mperu mmoja na wasanii wa Azerbeijan ishirini.
 
Naomba usaidie kufafanua hapa mpendwa wangu.
Ni kama nilivyoandika, tumedanganywa vya kutosha. Nyerere alikuwa ni picha tu Ikulu, aliyekuwa anatutawala ni mzungu Muingereza, kwa miaka yote ya Nyerere.

Waafrika bado tunatawaliwa mpaka tugeuke tuwe kama anavyofanya Ibrahim Traore wa Burkina Faso.

Anaebisha namuwekea ushahidi.
 
Mimi nabisha
 
Sikubishii kwa sababu scenario za West Afrika inafanana na hichi unachokisema hapa,
Ila nahitaji kujifunza zaidi, maana kuna vitu vingine tunaweza kuwalaumu viongozi wetu kumbe ni matatizo ambayo hata wao wanaogopa kutuambia!!
Mfano kule West Africa hawako huru kwa kuwa mfaransa ameshikiria kila fedha yao!!1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…