Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
MARAIS WETU NA AKILI WAPI NA WAPIWale wasanii mnao wapeleka Korea Kusini kwenda kujichekesha chekesha vipi? wana tija kwa Taifa? Raisi alifanya Ziara India na Deligate kubwa kuliko ya wenyeji, yaani Ukumbi ulijaaa wageni kana kwamba mkutano unafanyukia Mlimani city kumbe ni New Delh India.
Ziara za Raisi nje ya nchi zimejaaa idadi ya watu wanao bebwa tu wakale Bata kwenye Ziara na hawana tija kwa Taifa. Ni bora hata hao Wazimbabwe.