Mpyena
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 981
- 1,243
Unaweza kuthibitisha hili ikihitajika kufanya hivyo Faiza?Hivvi ulifikiri Tanzania gtupo "exceptional" kwa ujinga?
Ikiwa tumeweza kudanganywa kuwa tupo huru na kuongozwa na mzungu kwa miaka 24 au zaidi, akiwa ndani ya Ikulu ya Dar, unafikiri ujinga umetutoka lini?