Nani amelitendea haki Jukwaa la Michezo kwa mwaka 2021?

Nani amelitendea haki Jukwaa la Michezo kwa mwaka 2021?

JF ktk jukwaa la Michezo imekuwa ni sehemu iliyotufanya tusijikie wapweke kabisa, Wanachama wafuatao wamelifanya jukwaa hili kuwa sehemu salama zaidi ya kuwepo Jf:-
Scars-Mtu wa kutoa changamoto ktk maada mbalimbali za kimichezo na mnazi kweli wa Simba SC

ESPRESSO COFFEE -Nashukuru kwa kuanzisha kwako kwa nyuzi za live updates za michezo mbalimbali ya ligi kuu ya Tanzania Bara

demigod - Tunashukuru kwa nyuzi zako za kufikirisha kuhusu michezo na kutoa changamoto ktk mada mbalimbali pia kwa unazi wako kwa timu ya Dar es Salaam Young Africans


ChamasonMorisonBwalyason -Tunashuru kwa uchangiaji wako uliotukuka ktk jukwaa letu la Michezo humu JF na pia kwa unazi ulionao kwa Simba SC

NAWATAFUNA -Tunashukuru kwa jitihada zako za kuchangamsha jukwaa hili na pia kwa unazi wako kwa Simba Sc

denooJ-Tunashukuru kwa nguvu zako ulizoweka ktk jukwaa hili la Michezo na uchangiaji wako uliotukuka na hongera kwa unazi wako kwa Dar es Salaam Young Africans

Nyamizi - Tunashukuru kwa unazi wako uliotukuka kwa Simba SC na uchangiaji wako mzuri ndani ya jukwaa hili na kujihisi sisi ni familia moja

Narudi tena kuendelea kutoa shout out kwa wanachama wote waliofanya jukwaa hili kuwa bora zaidi
 
Viol-Endelea kuwasha moto kwa jukwaa hili mkuu na tunakutegemea sana na tunafurahia uwepo wako ndani ya jukwaa na pia endelea na unazi wako kwa Simba Sc

Ghazwat-Tunafurahia sana uwepo wako katika hili jukwaa, na tunapenda sana michango yako.

desayi -Thanks kwa mchango wako mkubwa sana mkuu, endelea kuilinda nembo ya timu ya Dar es Salaam Young Africans

Its Pancho - Unazi wako wa kiwango cha lami kwa Dar es Salaam Young Africans ni wa kiwango cha fly over na tunafurahia Sana uwepo wako humu ndani na kujihisi ni familia moja

Mbaga III -Wewe ni familia ndani ya jukwaa letu na tunafurahia michango yako na kukupenda pia

Kitimoto -Daaah mwanangu wa dislike una balaa lako la kipekee humu ndani, sema ndio Usha kuwa familia na tunafurahia zaidi michango yako

Balaa zaidi la wanachama waliosherehesha jukwaa hili linakuja
 
Utoto umekuwa mwingi humu ndio maana manguli wa jukwaa hili kama Gang Chomba mzee wa Abajaro Sinza pia mshabiki galacha wa AC Milan huwaoni.

Quote maarufu ya Gang Chomba ni ile kama mpira unadunda basi udunde baharini.
Kiukweli wadau ni wengi hapo bado kuna ID zingine nimezisahau najaribu kuzikumbuka kila nitakayoikumbuka nitaweka tag
 
Back
Top Bottom