Nani amelitendea haki Jukwaa la Michezo kwa mwaka 2021?

Shadeeya -Huyu balaa lake lipo kule kwenye special thread ya Dar es Salaam Young Africans, tunakupenda sana our own Sports lady

Kalpana -Another sports lady Halafu ni kolobwenzi kolobwanji, Mungu aendelee kukuweka na kulitendea haki jukwaa hili la michezo

ntazana ntazana -Tunafurahia uwepo wako pia ktk jukwaa hili na michango yako ni ya thamani sana, sema unazingua sehemu moja tu ni huko upande wa makolo ulipo

Simara -Keep the fire going our sports lady na tunafurahia michango yako hapa jukwaani
 
Pamoja sana mtani
 
Hii inaonesha namna gani wanajf tunavyopendana na kuthaminiana japo utani unakuwepo sana. Na kukwazana

Nathamini mchango wako na members wengine humu nashukuru kwa kunitambua.
Shukurani ila Scars kisasi kipo pale pale 😁😁
 
Satoh Hirosh -Unazi uendelee, sema mwanangu inabidi uhame huko kwa makolo kwasababu hujazaliwa nao ila tunaendelea kufarahia michango yako ndani ya jukwaa letu na kuishi kama familia

Mwifwa -Moja kati ya watu wanaonifanya niendelee kuwepo jukwaa hili kwa fact zao konki za michezo

Dabil -Ukiondoa unazi ulionao kwa makolo ila tunafurahia uwepo wako mkuu ktk jukwaa letu
 
Ahahah[emoji28] tuko pamoja mkuu,ila Nina alegy na Uzi wa kkjani.Siwezi kulikacha chama langu la msimbazi hata uje na vipande vya fedha sinunuliki km manara

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Thanks mkuu ,pamoja sana nashukuru pia kwa changamoto na unazi wako wa yanga ,mwisho wa siku michezo ni burudani.
Ingawa hapo juu umenimention kwa ID nyingine ila tuko pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…