Nani amelitendea haki Jukwaa la Michezo kwa mwaka 2021?

Hahaha
 
Daaaa idadi ni ndefu Sana Aisee ila wadau wanatuangushia list hapa
Shukrani Sana wanafamilia japo Mimi ni Mzee wa kuchungulia tu ila unazi wangu Kwa Simba sports club ndio umenifanya nikuone huu Uzi maana akuaga Sina mood ya kuzama humu sports Arena!
😁😁😁😁
 
XII Tz -mkuu endelea kuwasha moto kwenye jukwaa letu ila wimbo wa rose Muhando ni muhimu sana kwa timu yetu ya simba msimu huu

Che mittoga - Jukwaa linakutegemea sana kwa michango yako na Unazi wako uliotukuka ila Ila nyimbo ya Rose Muhando lazima ihusike sana

Extrovert -Huyu mkuu yaani haoni shida kutoa like kwa kila comment anayosoma ktk jukwaa hili, Mungu aendelee kumuweka duniani

Familia ni kubwa sana, naendelea kutoa shout out kwa kadri ya uwezo wangu
 
Wabeja sana mukulu!
 
Gide MK -Jukwaa linafurahia sana michango yako mkuu na hongera sana kwa timu yako ya wananchi kwa kuendelea kucheza mpira mzuri na kuachana na nyimbo ya Rose Muhando ili ushindi upatikane
 
Ahmad Abdurahman -Jukwaa linafurahia uwepo wako humu ndani na tukiachana na unazi wako kwa Dar es Salaam Young Africans ila ni mtu unayependa kuongea ukweli wa jambo bila kumeza maneno hasa kwenye matukio ya kimpira, tumeshakuwa familia moja
 
Shukran Mkuu panapo majaliwa next year jukwaa letu litazidi kuwa moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…