Nani amelitendea haki jukwaa la michezo kwa mwaka 2022?

Leo ni Desemba 3, tumeingia mwezi wa mwisho kwa mwaka huu! Ni member gani amenogesha zaidi jukwaa hili kwa mwaka huu? Karibuni
Rekebisha uzi wako, akitajwa member zitolewe na sababu za kumchagua huyo member ni zipi? Lazima tupewe na wasifu wa member kwenye jukwaa la michezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…