Nani amelitendea haki jukwaa la michezo kwa mwaka 2022?

Nani amelitendea haki jukwaa la michezo kwa mwaka 2022?

Ona huyu ametaja mbumbumbu wenzake... Bora ungemtaja Ghazwat maana tunafaidi live updates zake
Scars siyo mbumbumbu wa soka ila huwa kuna kipindi anajizima data. Ni miongoni mwa mashabiki wanaojua nini wanakifanya. Tofauti yake na Genta ni namna ya uwasilishaji, otherwise yuko vizuri.
 
Back
Top Bottom