Kabisa hua unanikera sana hasa ukija kwenye jukwaa letu la Wana Liverpool Ila ndo utamu wenyewe mzee[emoji16][emoji1787]Huu Uzi bila kumtaja Pain killer ufutwe
GENTAMYCINELeo ni Desemba 3, tumeingia mwezi wa mwisho kwa mwaka huu! Ni member gani amenogesha zaidi jukwaa hili kwa mwaka huu? Karibuni
Rapa wangu kila palipotajwa jina lako kiukweli nimetia emoji ya makopakopa, you're the best..!😍😍
Ona huyu ametaja mbumbumbu wenzake... Bora ungemtaja Ghazwat maana tunafaidi live updates zake
Mkuu asante kwa kunimention ila kiukweli nimekuja hapa kwenye world cup tu...all in all lets enjoy some good games...peace and love
Mjomba wangu Tate MkuuLeo ni Desemba 3, tumeingia mwezi wa mwisho kwa mwaka huu! Ni member gani amenogesha zaidi jukwaa hili kwa mwaka huu? Karibuni
Wanangu mko wengi sana ambao mnakiwasha kwenye hili jukwaa na we ukiwa mmoja wapoMjomba wangu Tate Mkuu
Ficha ujinga wako mzee hatuwezi kufanana kimtazamoOna huyu ametaja mbumbumbu wenzake... Bora ungemtaja Ghazwat maana tunafaidi live updates zake
Labda kwa mpira wa Bongo, kwenye nyuzi za timu za Ulaya ndiko wataalam wa kweli walipo.