Nani amewapa TFS idhini ya Kujenga Makao Makuu yao Mwanza wakati Makao Makuu ya Nchi ni Dodoma?

Kuishi IDODOMIE utakuwa umechangua laana kwakweli ndio mkoa peke Tz ulio changuliwa wa kunyonga watu halafu wewe na akili yako uwende ukaishi hapo IDODOMIE ibaki kama hapo awali sehemu ya Bunge na vikao vya CCM na baadhi ya office za serikali chache tu .
 
Moja kwa moja kwenye mada,

Site tunatambua kwamba Makao Makuu ya Nchi na Serikali ni Dodoma ambapo ndipo kunapaswa kujengwa Makao Makuu ya taasisi zote za Kiserikali ikiwemo Ikulu.

Kwamba toka Jobo Ndugai ametolewa kwenye kiti Dodoma imekosa msemaji wake au?

Swali nani katoa ruhusa kwa TFS na Wizara ya Maliasili kujenga Makao Makuu yao Mkoa wa Mwanza Kwa kisingizio cha deforestation Kanda ya Ziwa?

Huo ni upuuzi na utoto kuleta hoja ya kijinga na kukiuka sheria ya Nchi.Hivi Kati ya Dodoma na Kanda ya Kati kiujumla ukilinganisha na Kanda ya Ziwa wapi kunahitaji nguvu kubwa ya kupanda miti Ili kuboresha mazingira?

Waziri husika achana kabisa na huu mpango vinginevyo inakuwa haina maana ya kuwa na Makao Makuu ya Nchi na hivyo tuanze kusambaza taasisi za Kiserikali kikanda na kimkoa..

Mh.Waziri Mkuu zuia huu ujinga. Ingewezekana na TPA wangehamia Dodoma ila hakuna Bahari.[emoji116]

View attachment 2302979
Sasa hapa shida ipo wapi? Kilichohamia Dodoma ni serikali kuu sio taasisi hivyo zile top leadership office ndio zinazotakiwa kuwa huko Dodoma, je wizara ya maliasili haipo Dodoma? Taasisi zitajengwa kulingana na uhitaji mfano wizara ya mifugo na uvuvi ihamishie TAFIRI taasisi ya research ya uvuvi ihumwa? Au kuhamishia makao makuu ya board ya korosho Dodoma? Au board ya Pamba isikae maswa iende swaswa Dodoma, Taasisi huwekwa kulingana na uhitaji, yaani tuache kujenga karibu na misitu ya biharamulo ambayo mpaka watu wanatekwa Kila siku tukajenge Dodoma uliwai sikia Kuna msitu wa Adansonia (mibuyu)
 
Hapo shida sio makao makuu ya taasisi kutojengwa Dodoma bali shida ni makao Makuu kujengwa Mwanza, mtoa mada ana historia mbaya sana na Mwanza, wasukuma na Kanda ya ziwa kwa ujumla, back hazikabi.
Jadili hoja Usilete vioja..Wewe unaona mnalotaka kufanya ni sahihi?
 
Sasa hapa shida ipo wapi? Kilichohamia Dodoma ni serikali kuu sio taasisi hivyo zile top leadership office ndio zinazotakiwa kuwa huko Dodoma, je wizara ya maliasili haipo Dodoma? Taasisi zitajengwa kulingana na uhitaji mfano wizara ya mifugo na uvuvi ihamishie TAFIRI taasisi ya research ya uvuvu ihumwa? Au kuhamishia makao makuu ya board ya korosho Dodoma? Au board ya Pamba isikae maswa iende swaswa Dodoma, Taasisi huwekwa kulingana na uhitaji, yaani tuache kujenga karibu na misitu ya biharamulo ambayo mpaka watu wanatekwa Kila siku tukajenge Dodoma uliwai sikia Kuna msitu wa Adansonia (mibuyu)
Wewe ni taahira,kuna serikali bila Wizara na taasisi zake?
 
Kuishi IDODOMIE utakuwa umechangua laana kwakweli ndio mkoa peke Tz ulio changuliwa wa kunyonga watu halafu wewe na akili yako uwende ukaishi hapo IDODOMIE ibaki kama hapo awali sehemu ya Bunge na vikao vya CCM na baadhi ya office za serikali chache tu .
Kafuteni Sheria iliyounda Makao Makuu vinginevyo unaongea upumbavu.
 
Kwahiyo mnataka kila kitu kiwe Dom? Itakuwa km dar msongamano wa watu kutoka mikoani maana headquaters za taasisi zote zilikuwa dar.
Wamefanya vzr kuweka mkoa mwingine
 
Moja kwa moja kwenye mada,

Site tunatambua kwamba Makao Makuu ya Nchi na Serikali ni Dodoma ambapo ndipo kunapaswa kujengwa Makao Makuu ya taasisi zote za Kiserikali ikiwemo Ikulu.

Kwamba toka Jobo Ndugai ametolewa kwenye kiti Dodoma imekosa msemaji wake au?

Swali nani katoa ruhusa kwa TFS na Wizara ya Maliasili kujenga Makao Makuu yao Mkoa wa Mwanza Kwa kisingizio cha deforestation Kanda ya Ziwa?

Huo ni upuuzi na utoto kuleta hoja ya kijinga na kukiuka sheria ya Nchi.Hivi Kati ya Dodoma na Kanda ya Kati kiujumla ukilinganisha na Kanda ya Ziwa wapi kunahitaji nguvu kubwa ya kupanda miti Ili kuboresha mazingira?

Waziri husika achana kabisa na huu mpango vinginevyo inakuwa haina maana ya kuwa na Makao Makuu ya Nchi na hivyo tuanze kusambaza taasisi za Kiserikali kikanda na kimkoa..

Mh.Waziri Mkuu zuia huu ujinga. Ingewezekana na TPA wangehamia Dodoma ila hakuna Bahari.👇

View attachment 2302979
Hahahahah kwahio mtu akiwa na kesi na hao jamaa asafiri siku 2 kufuata ofisi zao zilipo huko. UJINGA!!!
 
Moja kwa moja kwenye mada,

Site tunatambua kwamba Makao Makuu ya Nchi na Serikali ni Dodoma ambapo ndipo kunapaswa kujengwa Makao Makuu ya taasisi zote za Kiserikali ikiwemo Ikulu.

Kwamba toka Jobo Ndugai ametolewa kwenye kiti Dodoma imekosa msemaji wake au?

Swali nani katoa ruhusa kwa TFS na Wizara ya Maliasili kujenga Makao Makuu yao Mkoa wa Mwanza Kwa kisingizio cha deforestation Kanda ya Ziwa?

Huo ni upuuzi na utoto kuleta hoja ya kijinga na kukiuka sheria ya Nchi.Hivi Kati ya Dodoma na Kanda ya Kati kiujumla ukilinganisha na Kanda ya Ziwa wapi kunahitaji nguvu kubwa ya kupanda miti Ili kuboresha mazingira?

Waziri husika achana kabisa na huu mpango vinginevyo inakuwa haina maana ya kuwa na Makao Makuu ya Nchi na hivyo tuanze kusambaza taasisi za Kiserikali kikanda na kimkoa..

Mh.Waziri Mkuu zuia huu ujinga. Ingewezekana na TPA wangehamia Dodoma ila hakuna Bahari.👇

View attachment 2302979
Leo umenifurahisha ndugu chawa mwandamizi. Kumbe sometime ubongo wako unawasilianaga vyema na vidole. Hoja nzito sana na yenye maana umeleta mezani.😁😁😁
 
Safi sana.Hivyo ndivyo inavyotakiwa.siyo kuweka ofisi sehemu moja.Hata maabara za madini zinatakiwa ofisi zao ziwe kanda ya ziwa kwa kuwa huko kunamadini mengi.yaani mtu achukue sample za madini geita na unapeleka z Dar es salaam?haijakaa sawalzl kabisa
Ondoa utaahira wako hapa..Unaelewa maana ya Makao Makuu ya Nchi?
 
Moja kwa moja kwenye mada,

Site tunatambua kwamba Makao Makuu ya Nchi na Serikali ni Dodoma ambapo ndipo kunapaswa kujengwa Makao Makuu ya taasisi zote za Kiserikali ikiwemo Ikulu.

Kwamba toka Jobo Ndugai ametolewa kwenye kiti Dodoma imekosa msemaji wake au?

Swali nani katoa ruhusa kwa TFS na Wizara ya Maliasili kujenga Makao Makuu yao Mkoa wa Mwanza Kwa kisingizio cha deforestation Kanda ya Ziwa?

Huo ni upuuzi na utoto kuleta hoja ya kijinga na kukiuka sheria ya Nchi.Hivi Kati ya Dodoma na Kanda ya Kati kiujumla ukilinganisha na Kanda ya Ziwa wapi kunahitaji nguvu kubwa ya kupanda miti Ili kuboresha mazingira?

Waziri husika achana kabisa na huu mpango vinginevyo inakuwa haina maana ya kuwa na Makao Makuu ya Nchi na hivyo tuanze kusambaza taasisi za Kiserikali kikanda na kimkoa..

Mh.Waziri Mkuu zuia huu ujinga. Ingewezekana na TPA wangehamia Dodoma ila hakuna Bahari.[emoji116]

View attachment 2302979
Wewe mtoa hoja una tatizo gani na Mwanza na Kanda ya Ziwa?
 
Kwanza nafikiri tulichelewa sana. Tungeweza kusambaza hizi makao makuu ya taasisi kwenye kwenye maeneo ya mkakati nafikiri ingesaidia sana kusaidia kutatua matatizo.

Mfano wizara ya utalii nategemea makao makuu yake yangekua kilimanjaro au arusha ingemsaada kuliko kua dodoma.
 
Mh.Rais Samia ameshasema Makao Makuu ya Nchi ni Dodoma sasa Wizara ya Maliasili na hao TFS wanataka kukiuka amri ya Rais?👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220725-133323.png
    Screenshot_20220725-133323.png
    107.2 KB · Views: 9
Moja kwa moja kwenye mada,

Site tunatambua kwamba Makao Makuu ya Nchi na Serikali ni Dodoma ambapo ndipo kunapaswa kujengwa Makao Makuu ya taasisi zote za Kiserikali ikiwemo Ikulu.

Kwamba toka Jobo Ndugai ametolewa kwenye kiti Dodoma imekosa msemaji wake au?

Swali nani katoa ruhusa kwa TFS na Wizara ya Maliasili kujenga Makao Makuu yao Mkoa wa Mwanza Kwa kisingizio cha deforestation Kanda ya Ziwa?

Huo ni upuuzi na utoto kuleta hoja ya kijinga na kukiuka sheria ya Nchi.Hivi Kati ya Dodoma na Kanda ya Kati kiujumla ukilinganisha na Kanda ya Ziwa wapi kunahitaji nguvu kubwa ya kupanda miti Ili kuboresha mazingira?

Waziri husika achana kabisa na huu mpango vinginevyo inakuwa haina maana ya kuwa na Makao Makuu ya Nchi na hivyo tuanze kusambaza taasisi za Kiserikali kikanda na kimkoa..

Mh.Waziri Mkuu zuia huu ujinga. Ingewezekana na TPA wangehamia Dodoma ila hakuna Bahari.👇

View attachment 2302979
 
Attachments

  • 9CFAEE98-2E2A-4CE5-9DAC-9986620F41F7.jpeg
    9CFAEE98-2E2A-4CE5-9DAC-9986620F41F7.jpeg
    31.2 KB · Views: 9
Back
Top Bottom