Nani amewapa TFS idhini ya Kujenga Makao Makuu yao Mwanza wakati Makao Makuu ya Nchi ni Dodoma?

Nani amewapa TFS idhini ya Kujenga Makao Makuu yao Mwanza wakati Makao Makuu ya Nchi ni Dodoma?

Tfs ni taasisi iliyo chini ya wizara. . kama wilaza iko Dodoma .ni sawa taasisi yake kuwekwa mikoa mingine..... mfano TANAPA Arusha, tume ya atomiki na nishati ARUSHA,Bodi ya pamba , Mwanza.wakala wa huduma za meli Mwanza ..
 
Toa upuuzi wako hapa.Tuna Makao Makuu ya Nchi ngapi?
 
Toa upuuzi wako hapa.Tuna Makao Makuu ya Nchi ngapi?
Acha kukariri maisha ...makao makuu ni wizara , bunge na mahakama ndo zinatakiwa ziwekwe . kuhusu taasisi za serikali zina uhuru wa kuwa Sehemu yoyote nchini kwa kuangalia diversification ya huduma zao
 
TFS ni taasisi iliyo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii.

Hakuna kosa lolote kujenga Mwanza. Zipo taasisi zilizojenga Dar mbona?!

Relax, pambana na umasikini wa jamii inayokuzunguka.
 
Jikite kwenye hoja..Makao Makuu ya Nchi ni wapi?

Nini maana ya Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi?

Acha upumbavu wa kutetea upuuzi Kisa unatoka huko.
Makao makuu ya Tanzania yapo Dodoma lakini haimaanishi lazima kila taasisi iwe Dodoma.
 
Kwa kupitia huu Uzi bila shaka wote tumeona jinsi jamii fulani ikijali ukabila na ukanda kuliko Maslahi ya Taifa.

Yule mtu hakutakiwa kabisa kuwa Rais wa Nchi yetu na kamwe tusije kurudia hili kosa..

Wanaotetea kuvunja sheria Kisa ubinafsi sasa sijui kila mtu akitaka kwao itakuaje.
 
Huo ukabila unao wewe. . kichwani mwako ... Dodoma ni makao makuu ya nchi toka nyerere lakini haikujengwa hata ofisi ya TANESCO ..huyo unayemsema hakufaa kuwa rais ndo kapafanya Dodoma pashine . sometime unakuwaga jinga et
 
Amesahau kuwa hata chuo ya maliasili na wanyama pori kiko mwanza Pasiansi! Na hii bila shaka ndo sababu pia ya kusogeza makao makuu mwanza!
 
Nataka nitofautiane na mawazo ya wengi, kwangu haikuwa na maana hata kujenga makao makuu Dodoma niliwaza kwa sauti kama wanavyofanya wenzetu wa huko duniani kwamba huduma zisambazwwe kote nchini, huwezi kuwa na Wizara ya Kilimo makao yake makuu yakae sehemu ambayo hawalimi, mtazamo wangu Maliasili na Utalii ingekua kule Arusha kama ilivyo TANAPA hao wa mamiti na misitu wangekaa hata Iringa ama Sumbawanga, watu wa Kilimo wangekaa mikoa inayolima Mbeya, Iringa etc, wengine ambao hawana specific tasks wangekaa sehemu moja , hii inasaidia kusambaza huduma nchi nzima sio kukaa sehemu moja tu.Hata hao wanaojiita wamehamia Dodoma wako Dar siku zote wanafanyiwa Massage na Scrub ni usanii tu.
Kwa dunia ya sasa, hizi sababu hazina msingi wowote. Haya mambo yalikuwa ni siku za zamani, ambapo mawasialiano na teknolojia kwa ujumla yalikuwa duni.
 
Nchi ngumu hii, makao makuu ya taasisi ya serikali kuhamishiwa Mwanza?
Tungekuwa tunajali Hela zetu Kwa ajili ya kuwasomesha kizazi kijacho, makao makuu yangeendelea kubaki dar, na idara nyingine na matawi kuboreshwa na hizo Hela za kujengea jengo wakakopeshwa Vijana kusomea elimu ya juu
 
Kwa dunia ya sasa, hizi sababu hazina msingi wowote. Haya mambo yalikuwa ni siku za zamani, ambapo mawasialiano na teknolojia kwa ujumla yalikuwa duni.
Watu wanajenga hoja mufilisi na kutumbua mabilioni
 
Mifumo imechoka ikitokea Kasi ya ukataji miti bila kupanda ikitokea iringa inabidi makao makuu ihamishiwe iringa Basi ihamishiwe kutoka kwenye majengo iwe kwenye gari iitwe mobile TFS
 
Back
Top Bottom