Nani amewapa TFS idhini ya Kujenga Makao Makuu yao Mwanza wakati Makao Makuu ya Nchi ni Dodoma?

Kuishi IDODOMIE utakuwa umechangua laana kwakweli ndio mkoa peke Tz ulio changuliwa wa kunyonga watu halafu wewe na akili yako uwende ukaishi hapo IDODOMIE ibaki kama hapo awali sehemu ya Bunge na vikao vya CCM na baadhi ya office za serikali chache tu .
 
Sasa hapa shida ipo wapi? Kilichohamia Dodoma ni serikali kuu sio taasisi hivyo zile top leadership office ndio zinazotakiwa kuwa huko Dodoma, je wizara ya maliasili haipo Dodoma? Taasisi zitajengwa kulingana na uhitaji mfano wizara ya mifugo na uvuvi ihamishie TAFIRI taasisi ya research ya uvuvi ihumwa? Au kuhamishia makao makuu ya board ya korosho Dodoma? Au board ya Pamba isikae maswa iende swaswa Dodoma, Taasisi huwekwa kulingana na uhitaji, yaani tuache kujenga karibu na misitu ya biharamulo ambayo mpaka watu wanatekwa Kila siku tukajenge Dodoma uliwai sikia Kuna msitu wa Adansonia (mibuyu)
 
Hapo shida sio makao makuu ya taasisi kutojengwa Dodoma bali shida ni makao Makuu kujengwa Mwanza, mtoa mada ana historia mbaya sana na Mwanza, wasukuma na Kanda ya ziwa kwa ujumla, back hazikabi.
Jadili hoja Usilete vioja..Wewe unaona mnalotaka kufanya ni sahihi?
 
Wewe ni taahira,kuna serikali bila Wizara na taasisi zake?
 
Kafuteni Sheria iliyounda Makao Makuu vinginevyo unaongea upumbavu.
 
Kwahiyo mnataka kila kitu kiwe Dom? Itakuwa km dar msongamano wa watu kutoka mikoani maana headquaters za taasisi zote zilikuwa dar.
Wamefanya vzr kuweka mkoa mwingine
 
Hahahahah kwahio mtu akiwa na kesi na hao jamaa asafiri siku 2 kufuata ofisi zao zilipo huko. UJINGA!!!
 
Leo umenifurahisha ndugu chawa mwandamizi. Kumbe sometime ubongo wako unawasilianaga vyema na vidole. Hoja nzito sana na yenye maana umeleta mezani.😁😁😁
 
Ondoa utaahira wako hapa..Unaelewa maana ya Makao Makuu ya Nchi?
 
Wewe mtoa hoja una tatizo gani na Mwanza na Kanda ya Ziwa?
 
Kwanza nafikiri tulichelewa sana. Tungeweza kusambaza hizi makao makuu ya taasisi kwenye kwenye maeneo ya mkakati nafikiri ingesaidia sana kusaidia kutatua matatizo.

Mfano wizara ya utalii nategemea makao makuu yake yangekua kilimanjaro au arusha ingemsaada kuliko kua dodoma.
 
Mh.Rais Samia ameshasema Makao Makuu ya Nchi ni Dodoma sasa Wizara ya Maliasili na hao TFS wanataka kukiuka amri ya Rais?πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220725-133323.png
    107.2 KB · Views: 9
 

Attachments

  • 9CFAEE98-2E2A-4CE5-9DAC-9986620F41F7.jpeg
    31.2 KB · Views: 9
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…