Nani amewapa TFS idhini ya Kujenga Makao Makuu yao Mwanza wakati Makao Makuu ya Nchi ni Dodoma?

Taasisi zikisambaa gharama za uendeshaji wa serikali huwa juu. Na urasimu pia hua mkali zaidi
 
Leo nakuunga mkono. Yatakuwa majaribu makubwa kwa maamuzi ya baraza la mawaziri. Hakuna sababu concrete ya TFS kujenga makao makuu Mwanza.
Hata taasisi zingine ambazo bado hazijahamshia makao makuu(HQs) Dodoma naona ni dharau kwa mamlaka ya juu ya nchi. Kama hao CEOs hawataki kuheshimu maamuzi ya juu ya nchi, basi waachie ngazi ili waendelee kubaki DSM.
 
Usijitoe akili, hoja yako ni kwamba Taasisi zote za serikali zinatakiwa kuwa Dodoma, sasa nakuuliza tena tuipeleke TPA Dodoma?
With exceptional circumstances tuu.TFS ina sababu zipi za msingi kujengwa Mwanza Kwa sababu za kipuuzi hizo walizotoa?..
 
Ondoa utaahira wako hapa..Unaelewa maana ya Makao Makuu ya Nchi?
Weww ndio taahila.kengewe.kwa hiyo makao makuu ndiyo yazuie kujenga makao makuu huko mwanza?mawazo yenu mgando ambayo hayataki mabadiliko ndiyo yanayoifanya nchi ionekane inaongozwa na majingamajinga.
 
Weww ndio taahila.kengewe.kwa hiyo makao makuu ndiyo yazuie kujenga makao makuu huko mwanza?mawazo yenu mgando ambayo hayataki mabadiliko ndiyo yanayoifanya nchi ionekane inaongozwa na majingamajinga.
Unapingana na sheria na amri ya Rais?👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220725-133323.png
    107.2 KB · Views: 5
Hiyo ni ccm, hawaishi kutengeneza ulaji. Ukataji miti ukishamiri Mtwara, makao makuu yanahamia Mtwara, na kadhalika. Pesa badala ya kutumiaka kupanda miti, zinaishia kwenye masuala ya utawala wa kuiba ni jinsi gani watu wanahama Mwanza, na hapo ndio Kila mtu hupata ulaji kwa urefu wa kamba yake, kama rais Suluhu anavyowataka wafanye!
 
Sheria ya kuwa Dodoma ni Makao Makuu ilipitishwa Ili iwaje?

Makao Makuu sio maneno bali ni taasisi za Kiserikali kuwepo sehemu ambayo ndio makao makuu ya Nchi.
WaTz wanajua Sheria basi? Ndio maana nchi inaendeshwa hovyo, hakuna anayeona umuhimu wa utaratibu wowote, achilia mbali Sheria na Katiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…