Nani amewapa TFS idhini ya Kujenga Makao Makuu yao Mwanza wakati Makao Makuu ya Nchi ni Dodoma?

Wewe hujaelewa.makao makuu yanaweza kuwa kila mahali
Dodma ni wizara zenye dhamana.taasis inaweza kuwa hata rorya.kulingana na maono yake
 
Pamoja na yote, uhamiaji Dodoma umekighalimu taifa kifedha, maana kuna taasisi zilikuwa na majengo tayari ila wakalazimishwa kuhama, yale majengo yao hayana kitu
 
Ni kwa sababu Dodoma hakuna huduma za Massage na Scrub za maana mkuu
 
Ni kwa sababu Dodoma hakuna huduma za Massage na Scrub za maana mkuu
 
Ni kwa sababu Dodoma hakuna huduma za Massage na Scrub za maana mkuu
 
Weka Tabora pale paaaaaa....... Hivyo tu Kwa Nini mkazie ARUSHA na Kilimanjaro!!?? Weka Singida Hapo au Ruvuma kabisa tuteseke.
 
MAAMUZI ya nani JIWE au Chifu Hangaya!!??
 
Pamoja na yote, uhamiaji Dodoma umekighalimu taifa kifedha, maana kuna taasisi zilikuwa na majengo tayari ila wakalazimishwa kuhama, yale majengo yao hayana kitu
Mkapange sasa humo walimoacha😁😁😁
 
Tatizo mleta mada umejaa matusi na lugha zinazoudhi. Umeonyesha sio mstaarabu na unafaa kutambulika kama LAANA YA TAIFA.
 
Kenge ww ..sijui unachuki na mwanza km kuna mtu alikufokoa kinyesi nenda kafanye nae bifu sio kumsema mtu alie kufa ...km angeendekeza ukanda si asingehimiza na kuhamisha serikali dodoma toa upuuuzi wako kenge ww na km una chuki na wasukuma ww pimbi mmoja fala sana ww
 
Kama ni suala la kupambana na jangwa, mbona Dodoma napo panahitaji jitihada za karibu za kupanda miti kwa wingi kupambana na jangwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…