Nani ana akili kuliko wote JF?

Yule mwamba aliwezs kua wa kwanza kucomment newpost zote jf za majukwaa yote bila kuwahiwa na mtu yeyotejapo jina nimelisahau.Wa pili ni dogo mmoja sijui anaitwa Infantry Soldier nahisi toka alipoaga last time kua yuko bize na project yake na vijana flani hajawahi andika au kulike au kujihusisha na jf kwa namna yeyote ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…