Nani anaelewa mbinu ya huyu askari aliyepigwa risasi?

Nani anaelewa mbinu ya huyu askari aliyepigwa risasi?

Narumu kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
1,888
Reaction score
4,489
Sijamwelewa kabisa huyu askari hii mbinu ya kumsogelea mhalifu hatari bila kuchukua tahadhari, utafikiri anamvizia mtu mwenye kisu ndio maana akatandikwa.

FB_IMG_16299151627520536.jpg


FB_IMG_16299151407677373.jpg
 

Attachments

  • 2898008_VID-20210825-WA0189.mp4
    31.1 MB
Huyu Sio atakua huyo wanayedai mlinzi wa kampuni binafsi aliyeuwawa?

Watu Chuma sijui wanaichukuliaje, kama ni hio badge wanivue tuu ila mbele ya chuma Sitaki unifundishe uzalendo bora nionekane kunguru..

Utanishauri kotee ila Ikifika mahala options ni kifo au uhai, sitaki ushauri, kaachaDona kizembe sana...
 
Askari hawana mafunzo, ndio maana wanakufaga kiboya boya sana. Huyu askari alikua karibu na mhalifu mwenye silaha ya moto SMG, halafu alivyokua fala akampa mgongo na akajisahau kabisa. Matokeo yake akatembezewa chuma.

Jamaa lingemchapa risasi hata ya makalio.
 
Ndiye aliyemrushia tear gas ndo akatoka kwenye kibanda baada ya kuzidiwa na moshi.
Ila ilikuwa ni reckless move, hata alipoanza kukimbia, jamaa angekuwa serious kidogo, huyo shujaa asingekuwepo sasa.

Waliokuwa wanamfanyia covering walikuwa wanapiga off-target by far na pengine wakimlenga yeye wakidhani ndo wanam-cover😅
 
Back
Top Bottom