Nani anaelewa mbinu ya huyu askari aliyepigwa risasi?

Nani anaelewa mbinu ya huyu askari aliyepigwa risasi?

He is the Nation Hero.He did what a true soldier expected to do
Siyo kweli. Inaonekana wewe hata JKT hujapitia. Siyo kazi ya askari kujipeleka peleka ovyo. Wamejifunza mbinu za kivita/mapambano/kukabiliana na adui. Siku nyingine ukitaka kuandika kiingereza, andika hivi "He is a national hero. He did what a true soldier is expected to do. Kilangila.
 
Okay!.

Alijitoa muanga lakini kifala sana. Huwezi kumfat gaidi mwenye AK47 na kibastola chako, utafumuliwa Ubongo.

Kama alikuwa anamvuta gaidi basi ni kwa njia ya kumshambulia kwa risasi, siyo kwenda na ubongo nje nje.
 
Kaeni kimya kutukana walinzi wetu ni dharau kubwa ipo siku mtaenda kuomba msaada polisi
Huyu Sio atakua huyo wanayedai mlinzi wa kampuni binafsi aliyeuwawa?

Watu Chuma sijui wanaichukuliaje, kama ni hio badge wanivue tuu ila mbele ya chuma Sitaki unifundishe uzalendo, kaacha Dona kizembe sana.
Askari hawana mafunzo, ndio maana wanakufaga kiboya boya sana. Huyu askari alikua karibu na mhalifu mwenye silaha ya moto SMG, halafu alivyokua fala akampa mgongo na akajisahau kabisa.

Jamaa lingemchapa risasi hata ya makalio.
U made my day mkuuu..leo policcm wamechakazwajeeee!raha sanaaa ahahahhaaa
Alikuwa anaenda kichwa kichwa utadhani ameenda kukamata wafuasi wa chadema.
Akakutana na Smg akalambwa ya mguu kwa ujinga huo alioufanya utasikia kesho amepandishwa cheo
 
Hapo ndo naona Kuna tatizo, Police hawakujiandaa au mafunzo ya kutosha hafifu.
Askari yule Kama Kuna Askari mwenzake angefanya Cover ya kutosha Risasi kwenye kibanda mfululizo, naamini huyo angekua wa kwanza kumdungua huyo Msomali!
But kapigwa Risasi coz muda mwingi alikua anaomba Cover kwa Ishara ya mikono, mpaka anapigwa Risasi.

Hawa Police hata Movie hawaangalii? Namba unaweza kufanya Cover kwa mwenzako aliyesogea front....
 
Jamaa sijui alijua ni baruti za kwenye sherehe, hata hivyo alikua jasiri sana wenzake hata baada ya kumuangusha mchizi kwa risasi lakini bado kuusogolea mwili walikua wanajiuliza mara mbili mbili
 
Back
Top Bottom