blackmweusi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 241
- 186
Jamaa alikuwa anajaribu kum-provoke ili ajibu mapigo ili akitokeza ile backup ya jamaa wampige risasi. Maana walishaona jamaa kabana ndani ya kibanda na wasingeweza kufanya chochote maana alikuwa anawapiga yeue tu.
Cheki vizuri hapa
Cheki vizuri hapa