Peril22
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,710
- 2,951
Ni rahisi kuiona target wakati wa mafunzo(katika uwanja wa range) ila sio katika bettle field mkuumkuu,
inamana pale target walikua hawaioni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni rahisi kuiona target wakati wa mafunzo(katika uwanja wa range) ila sio katika bettle field mkuumkuu,
inamana pale target walikua hawaioni?
Nina imani wengi wapo katika kundi hili mkuu(hawakuwahi kuskia mlio wa risasi live).Watu wameshiba ugali maharage basi wapo nyuma ya keyboard zao wanatema ujinga. Muulize mtu kama ameshawahi kusikia mlio wa risasi just 20m away.
He did what he did, hongera kwake!
yeah sure mkuu,Ni rahisi kuiona target wakati wa mafunzo(katika uwanja wa range) ila sio katika bettle field mkuu
Hawa ndio wale raia wakakamavu.We nae si uwe unasoma comments na kuelewa,unaambiwa yupo hai Muhimbili anatibiwa wewe unakurupuka na kejeli zako za “kafa kwa uzembe”.Huwa mna haraka gani ya ku comment?
Hizo ni individual errors mkuu ila kimkakati hamza angekufa mapema sana. Pale alipotoa kichwa tu alitakiwa kuisha( kipindi anamuangalia/kumshangaa yule jamaa mwenye bastora)yeah sure mkuu,
ila kwa pale kusema walikua hawaioni target sio kwel mkuu,
kama umetazama video ambayo Muuaji anajitokeza,n imecheki pale ni sekunde 15 alikua barabarani, na bado Police walikua hawamwoni,
police zaidi ya 10 hawamwoni, wanarenga pembeni tuu,
jamaa anavimba tuu uku anajipiga kifua.
Yeah,Hizo ni individual errors mkuu ila kimkakati hamza angekufa mapema sana. Pale alipotoa kichwa tu alitakiwa kuisha( kipindi anamuangalia/kumshangaa yule jamaa mwenye bastora)
Hamza katubeba sana leo
Kwa nini mkuu??
Kama sio gaidi unahisi ni nani??
Nishaona bado askari wetu wanaigiza film za kibongoSiyo kweli. Inaonekana wewe hata JKT hujapitia. Siyo kazi ya askari kujipeleka peleka ovyo. Wamejifunza mbinu za kivita/mapambano/kukabiliana na adui. Siku nyingine ukitaka kuandika kiingereza, andika hivi "He is a national hero. He did what a true soldier is expected to do. Kilangila.
Mimi nina maoni tofauti kidogo.....hakuna hero hapo mzee,
he was like 3 meters from him, and hakuonwa,
ka shoot mara 3 kama sio 4, na alikua na bastola, na bado kamduku,
hadi anapigwa yeye kizembe sana,
af cheki askali wa4 wapo upande wa kwenye rami huku,
nabado wakashindwa kumcover mwenzao asidunguliwe na jamaa,
daaaH askari wetu bado sana aisee..
kwa hili, wameonyesha uzembe mkubwa sana ndani ya jeshi la polisi upande wa shabaha,
embu cheki zile sekunde 15, jamaa kajitoa kabisa yupo sehem wazi na risasi zimemwishia,
nabado wakawa wana mkosa kwa sekunde 15 wana piga risasi pembeni,
na ujue sio Askari mmoja,
nizaidi ya askari 14 wana mshambulia Mtu mmoja kwa sekunde 15 nawana mkosa.
IVI ASKARI WETU WANA MAZOEZI ENDELEVU UPANDE WA SHABAHA, KAMA VILE ILIVO JESHINI.?
hahaha.!Mimi nina maoni tofauti kidogo.....
askari wa kibongo huenda walikuwa wanapiga risasi pembeni makusudi......
Ili nae Hamza ajibu amalize risasi wamkamate....
sasa askari mmoja akaona isiwe tabu akajiongeza akamnyuka ya kichwa.....
angalia baada ya Hamza kudondoka alinyukwa kama sita za mkyunduni ile sio shabaha kweli!!!?
pyu pyu pyu pyu on the same angle
Wewe ulishamfata pombe gufuli?Alikuwa anakunogesha sana ee?
Kafa sasa mfuate huko aliko
Acha kutega watu mkuu.Mimi nina maoni tofauti kidogo.....
askari wa kibongo huenda walikuwa wanapiga risasi pembeni makusudi......
Ili nae Hamza ajibu amalize risasi wamkamate....
sasa askari mmoja akaona isiwe tabu akajiongeza akamnyuka ya kichwa.....
angalia baada ya Hamza kudondoka alinyukwa kama sita za mkyunduni ile sio shabaha kweli!!!?
pyu pyu pyu pyu on the same angle
Unajitega mwenyewe jifutike dole kwenye o yako unuseAcha kutega watu mkuu.
Mapolisi ni WALEVI, watawezaje kulenga shabaha vizuri wakiwa katika hali ya tilalila?Mi naona kosa sio la huyo Askar alikuwa na nia nzuri na plan ilikuwa nzur kosa lilikuwa watoa cover wali delay sana na hakukua na mashambuliz mfululizo .. na walipashwa welenge ndan ya kibanda kumlazimisha jamaa alale chini.. ila wao walikuwa wanapiga ukutan nje na pembeni .. had jamaa ananyanyuka na kumshoot jamaa
unaona kabisa kwenye clip jamaa had anamchungulia askar ili ampige.. Askari wa kutoa cover wetu ndo kidogo waliteleza au cordination kati yao haikuwa nzuri
Nasikia huyo gaidi alikuwa ni kada wa ccm ni kweli?ni vema kushangilia kwa kejeli kwasababu magaidi ua wanachagua raia wa kuua ni wanachama wa ccm pekee.chadema sijawahi sikia mmekufa kwenye matukio kama haya
Tatizo hujala kiapoHuyu Sio atakua huyo wanayedai mlinzi wa kampuni binafsi aliyeuwawa?
Watu Chuma sijui wanaichukuliaje, kama ni hio badge wanivue tuu ila mbele ya chuma Sitaki unifundishe uzalendo bora nionekane kunguru..kaacha Dona kizembe sana...
Nishauri kotee ila Ikifika mahala options ni kifo au uhai, sitaki ushauri.
Tataizo Sio kiapo.Tatizo hujala kiapo
Watu wanamsifiaSijamwelewa kabisa huyu askari hii mbinu ya kumsogelea mhalifu hatari bila kuchukua tahadhari, utafikiri anamvizia mtu mwenye kisu ndio maana akatandikwa.
View attachment 1908287
View attachment 1908288
Bomu la machozi ni lazima ulipeleke kwa mikono?Mimi nilichoona ni kwamba inawezekana kabisa huyo "Gaidi" alikuwa na Bullet Proof ndo maana walikuwa wanamkosa. Pia yule Askari alikuwa na Bullet proof pia namwona ni shujaa kabisa kwa jinsi alivyokwenda pale. Lakini pia kwa kuwa jamaa alikuwa ktk kibada iilikuwa sawa kutumia mabomu ya machozi kupamba na yule ili atoke. Kejeli za baadhi yenu zinanifanya niamini utafiti kuwa katika kila waTZ watano wanne wana jalada la matibabu Milemba