Nani anaelewa mbinu ya huyu askari aliyepigwa risasi?

Watu wameshiba ugali maharage basi wapo nyuma ya keyboard zao wanatema ujinga. Muulize mtu kama ameshawahi kusikia mlio wa risasi just 20m away.

He did what he did, hongera kwake!
Nina imani wengi wapo katika kundi hili mkuu(hawakuwahi kuskia mlio wa risasi live).
 
Ni rahisi kuiona target wakati wa mafunzo(katika uwanja wa range) ila sio katika bettle field mkuu
yeah sure mkuu,
ila kwa pale kusema walikua hawaioni target sio kwel mkuu,

kama umetazama video ambayo Muuaji anajitokeza,n imecheki pale ni sekunde 15 alikua barabarani, na bado Police walikua hawamwoni,
police zaidi ya 10 hawamwoni, wanarenga pembeni tuu,

jamaa anavimba tuu uku anajipiga kifua.
 
We nae si uwe unasoma comments na kuelewa,unaambiwa yupo hai Muhimbili anatibiwa wewe unakurupuka na kejeli zako za “kafa kwa uzembe”.Huwa mna haraka gani ya ku comment?
Hawa ndio wale raia wakakamavu.
 
Hizo ni individual errors mkuu ila kimkakati hamza angekufa mapema sana. Pale alipotoa kichwa tu alitakiwa kuisha( kipindi anamuangalia/kumshangaa yule jamaa mwenye bastora)
 
Hizo ni individual errors mkuu ila kimkakati hamza angekufa mapema sana. Pale alipotoa kichwa tu alitakiwa kuisha( kipindi anamuangalia/kumshangaa yule jamaa mwenye bastora)
Yeah,
apo umenena mkuu,

natumai Police wetu wamejifunza kitu, nawame tambua kipi inabidi waongezee katika mazoezi yao.

Mungu awabariki sana, waweze kuliona hilo nawalifanyie kazi bana,

We Need Them..
 
Hamza katubeba sana leo
Kwa nini mkuu??
Kama sio gaidi unahisi ni nani??
Nishaona bado askari wetu wanaigiza film za kibongo
 
Mimi nina maoni tofauti kidogo.....
askari wa kibongo huenda walikuwa wanapiga risasi pembeni makusudi......
Ili nae Hamza ajibu amalize risasi wamkamate....
sasa askari mmoja akaona isiwe tabu akajiongeza akamnyuka ya kichwa.....
angalia baada ya Hamza kudondoka alinyukwa kama sita za mkyunduni ile sio shabaha kweli!!!?
pyu pyu pyu pyu on the same angle
 
hahaha.!
nishabaha mkuu,
ila ni shabaha zakujifurahisha..
 
Acha kutega watu mkuu.
 
Mapolisi ni WALEVI, watawezaje kulenga shabaha vizuri wakiwa katika hali ya tilalila?
 
ni vema kushangilia kwa kejeli kwasababu magaidi ua wanachagua raia wa kuua ni wanachama wa ccm pekee.chadema sijawahi sikia mmekufa kwenye matukio kama haya
Nasikia huyo gaidi alikuwa ni kada wa ccm ni kweli?

Na kama ni kweli,Je ccm imeanza kufuga magaidi?
 
Tatizo hujala kiapo
 
Tatizo hujala kiapo
Tataizo Sio kiapo.
Tatizo ni umepewa mbinu za kum attack adui huku wewe ukijilinda halafu huzitumii..

Katika Mafunzo yao Sheria namba Moja ni kulinda usalama wako kwanza, Maana Askari asipokua salama tayari amehatarisha Maisha yake yeye Mmoja na Raia zaidi ya 1000(Kutokana na ratio)..

Sasa yule anamfuata adui Mwenye Miguu ya kuku Minne, as if kashika magunzi na mbaya zaidi katika open space kama ile na zaidi huna protection yoyote ile kama bullet proof n.k, No wonder alikua anaita wenzake waje hawakwenda.
Hakuna kiapo cha kumfuata adui kichwa kichwa na kufa kizembe.
 
Bomu la machozi ni lazima ulipeleke kwa mikono?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…