Nani anaelewa mbinu ya huyu askari aliyepigwa risasi?

Nani anaelewa mbinu ya huyu askari aliyepigwa risasi?

Askari kufa vitani ni ushindi.. Iwe kwa uzembe au bahati mbaya.

Kama RAIA wa kawaida, huwezi kuelewa.. Ndio maana lawama zinakuwa nyingi.
 
I agree with you, huyu baada ya kushoot kitu ka tear gas jamaa ndo akatoka kwenye kila kichumba
Sio kwamba lile gari lililo enda pale na kugeuza ndo lilitupia moshi wa kuwasha?
 
Ndiye aliyemrushia tear gas ndo akatoka kwenye kibanda baada ya kuzidiwa na moshi.
Sio kwamba lile gari lililo enda pale na kugeuza ndo lilitupia moshi wa kuwasha?
 
Katika Jeshi, huyu ni Hero....!

Yeye ndiye aliemtoa mhalifu alikojificha kwa kumrushia Bomu la machozi (Disgusting/Tear gas)

Mwanajeshi kufa au kuua vitani ni ushindi sio Woga, angekuwa mwoga angelala nyumbani au angegoma kuingia katika mapambano

THINK
Ushujaa/kujiamini..... 100%
Weledi/Mbinu .... 0%
Ila akipatiwa mafunzo he will make a good police
 
Sema hao askar wengine walishindwa kumpa support,kama kungekua na sniper jamaa alivotokeza tu kichwa wange mtandika,na kumsaidia huyo mwenzao,ila jamaa alienda kizembe sana halafu anakimbia anageuka nyuma.Huyo askar alifanya kazi nzur sana japo hakua na tahadhari ya kutosha kama kulikua na mduangaji mzur game ilikua inaisha first half tu..Jamaa mpaka ametoka pale ameenda katikat ya barabara alikoswa na risas nyingi sana,ina maana askar wetu hawana shabaha nzur,risas ni nyingi sana zilizo mkosa..
 
Huyu atakua marehem sahiv maana alidhani anapambana na Chadema
mzee magufuli ndiye aliyeleta mgawanyiko na chuki baina ya ccm na chadema...lakini saizi hayupo tena..basi nakushauri tuachane na hii chuki mbaya aliyoileta magufuli[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ila ilikuwa ni reckless move, hata alipoanza kukimbia, jamaa angekuwa serious kidogo, huyo shujaa asingekuwepo sasa.

Waliokuwa wanamfanyia covering walikuwa wanapiga off-target by far na pengine wakimlenga yeye wakidhani ndo wanam-cover[emoji28]
mzee wewe mwanajeshi nini?
 
Back
Top Bottom