Nani anafaa kuwa dada wa taifa kati ya Mange Kimambi na Rachel Dangwa?

yani rachel dangwa huyo kahaba anaejiuza huko nje miaka na miaka ndio umlinganishe na mange? are you even serious? au wewe ndo rachel unatafuta umaarufu sasa?
Kwani hata mange ana kitu gani cha ajabu?mange alikurupukia siasa baada ya kuwapata wajinga weng wa chadema ila nae hamna kitu kwa sisi tuliomjua zaman enzi anamiliki ile blog yake kabla ya mitandao ya kijamii haijashika chati
 
Duuuuh
 
Mange alitamba muda mrefu kama mkosoaji asiyejificha ila Kwa Sasa mitandao imejaa Mtanzania anakimbiza aitwaye Rachel Dangwa

Rachel Dangwa huyu dada ni hatari anakosoa Kwa lugha chafu, yaani hadi binafsi huwa nashtuka lugha zake Kwa viongozi wa Kisiasa

Rachel Dangwa amempiku na amejizolea umaarufu mtandao kuliko Mange Kimambi

Rachel Dangwa anakimbiza huko tik tok.ni hatariView attachment 3448397View attachment 3448398
Rachel Dangwa akili hana.

Ni malaya aliyejichokea, kila kukicha anayaanika makalio yake.
 
Wote ni wapuuzi na wanaoshabikia hao wapuuzi kuwa madada wa Taifa nao ni wapuuzi.

Kama huyo Mange ana mdomo Mchafu anatumia video chafu halafu wapuuzi wanamuona mtu wa maana !
ukijiheshimu hizo video zako chafu atazipata wapi axipost? ndio muwe mnajiheshimu hazitapostiwa
 
Kwani hata mange ana kitu gani cha ajabu?mange alikurupukia siasa baada ya kuwapata wajinga weng wa chadema ila nae hamna kitu kwa sisi tuliomjua zaman enzi anamiliki ile blog yake kabla ya mitandao ya kijamii haijashika chati
wewe kumbe umemjua mange juzi tu au smartphone na computer umezijulia ukubwani, mange since uturn blog yake 2005 huko alikua anamix udaku na siasa, akiona jambo la kiserikali linakera lazima aliongelee
 
Mange alitamba muda mrefu kama mkosoaji asiyejificha ila Kwa Sasa mitandao imejaa Mtanzania anakimbiza aitwaye Rachel Dangwa

Rachel Dangwa huyu dada ni hatari anakosoa Kwa lugha chafu, yaani hadi binafsi huwa nashtuka lugha zake Kwa viongozi wa Kisiasa

Rachel Dangwa amempiku na amejizolea umaarufu mtandao kuliko Mange Kimambi

Rachel Dangwa anakimbiza huko tik tok.ni hatariView attachment 3448397View attachment 3448398
Unaweza kukuta wewe ni mwanaume na unawatoto .pumbavu

USSR
 
yani rachel dangwa huyo kahaba anaejiuza huko nje miaka na miaka ndio umlinganishe na mange? are you even serious? au wewe ndo rachel unatafuta umaarufu sasa?
Mange yuko smart anajua kupangilia hoja na anajua kushawishi,ila huyo mwingine sijui Rachel ni chizi kiasi fulani hajui kupangilia hoja zaidi ya kutoa mitusi ya nguoni hadi utaona kichefuchefu kuendelea kumsikiliza.
 
Ni mgonjwa wa akili,naona ndio maana wameamua kumpotezea
 
Back
Top Bottom