macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Rubbish... unamfananisha huyu na Mange? Mange amenza operation tangu enzi za Magu na ameandamanisha mapolisi ? Mpaka Abdul amemfuata kutaka kumhonga akakataa! Mange kafanya mengi sana na unamfananishaje na mtu ambaye unasema sifa yake ni kutumia lugha chafu?Wa kwanza
