macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Rubbish... unamfananisha huyu na Mange? Mange amenza operation tangu enzi za Magu na ameandamanisha mapolisi ? Mpaka Abdul amemfuata kutaka kumhonga akakataa! Mange kafanya mengi sana na unamfananishaje na mtu ambaye unasema sifa yake ni kutumia lugha chafu?Wa kwanza
Rachel ni hatari kuzidi, video zake unaweza ukaogopa kuziangalia, series anazotoa niMange alitamba muda mrefu kama mkosoaji asiyejificha ila Kwa Sasa mitandao imejaa Mtanzania anakimbiza aitwaye Rachel Dangwa
Rachel Dangwa huyu dada ni hatari anakosoa Kwa lugha chafu, yaani hadi binafsi huwa nashtuka lugha zake Kwa viongozi wa Kisiasa
Rachel Dangwa amempiku na amejizolea umaarufu mtandao kuliko Mange Kimambi
Rachel Dangwa anakimbiza huko tik tok.ni hatariView attachment 3448397View attachment 3448398
Nilimsikiliza hata sikuwezaRachel ni dawa ya stress anapiga kwenye mshono
Hakuna mjinga zaidi kuliko anayemuona Mange kama heroin , eti shujaa wake na inasikitisha eti dume zima linatekwa akili na mpuuzi kama Mange .Ww ni mjinga
Ao waropokaji hawana akili ;Wapuuzi Kwako kwakuwa wanakemea ufusadi, matumizi Mabaya ya madaraka na wizi wa uchaguzi
Kwenye blog yake mange alikuwa anaongelea umbea tu ndio kisa cha kugombna na na celebrate wengi wa kike wa kipindi hicho siasa ameanza juz tu hapa baada ya kuwapata manyumbu in short mange hamna kituwewe kumbe umemjua mange juzi tu au smartphone na computer umezijulia ukubwani, mange since uturn blog yake 2005 huko alikua anamix udaku na siasa, akiona jambo la kiserikali linakera lazima aliongelee
issues anazoongea lazima avae uhusika wa uchizi, lakini she is exceptionally goodRecho kwa muonekano inaeekea kichwani ni peupe sana alafu usafi haujui.
Ulishawahi kumnunua? Ulijuaje kama anajiuza?yani rachel dangwa huyo kahaba anaejiuza huko nje miaka na miaka ndio umlinganishe na mange? are you even serious? au wewe ndo rachel unatafuta umaarufu sasa?
hawakatazwi kukemea, lakini kwa mtiririko wa matusi yale hapana, ule ni ujinga uliopitiliza. Hata wakenya wenyewe wamesalimu amri kwa matusi yale.Wapuuzi Kwako kwakuwa wanakemea ufusadi, matumizi Mabaya ya madaraka na wizi wa uchaguzi
unlimited freedom of expression, hizo ni values za democracyhawakatazwi kukemea, lakini kwa mtiririko wa matusi yale hapana, ule ni ujinga uliopitiliza. Hata wakenya wenyewe wamesalimu amri kwa matusi yale.
Hahaha Yule dada kavurugwa Ila itakuwa kuna watu walk nyuma yakeNilimsikiliza hata sikuweza
mi sisagani hadi nimnunue, but we jua tu namfahamu kama nimemzaa.Ulishawahi kumnunua? Ulijuaje kama anajiuza?
wahuni hawaelewi makaripio yenye lugha ya kiistarabu, msimchagulie silaha Mh Rachel, tunahitaji mashambulizi ya silaha tofauti i.e cocktal remedyMange yuko smart anajua kupangilia hoja na anajua kushawishi,ila huyo mwingine sijui Rachel ni chizi kiasi fulani hajui kupangilia hoja zaidi ya kutoa mitusi ya nguoni hadi utaona kichefuchefu kuendelea kumsikiliza.
WOte wapuuzi watupuMange alitamba muda mrefu kama mkosoaji asiyejificha ila Kwa Sasa mitandao imejaa Mtanzania anakimbiza aitwaye Rachel Dangwa
Rachel Dangwa huyu dada ni hatari anakosoa Kwa lugha chafu, yaani hadi binafsi huwa nashtuka lugha zake Kwa viongozi wa Kisiasa
Rachel Dangwa amempiku na amejizolea umaarufu mtandao kuliko Mange Kimambi
Rachel Dangwa anakimbiza huko tik tok.ni hatariView attachment 3448397View attachment 3448398