Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

KISHINDO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
2,165
Reaction score
1,906
Kwanza poleni sana kwa misiba iliyoikumba nchi yetu.

Pili, watu huelewa uchapakazi wako bila wewe kuwaambia.

Wanaweza wakakupendekeza kama uchapakazi wako ni mzuri au wasikupendekeze kulingana na uchapakazi wako wa hovyo hovyo.

Ile watu wakisema fulani anafaa basi hata usipopewa nafasi hiyo elewa kuwa unafaa na jamii inakukubali hivyo unapaswa kuendeleza imani hiyo kwa jamii inayokuzunguka.

Swali liko hapo juu, wewe wadhani nani anaweza kuvaa kiatu cha Injinia na kwa nini unamfikiria huyo?

Ingawa umri wake imeenda lakini binafsi namfikiria Katibu mkuu wa utumishi Dr. Laurian Ndumbaro

Kwanini:-

Ni mchapa kazi, ana uzoefu wa muda mrefu kazini na ametulia-hana mapepe mapepe.

2........

3........

4......
 
Kwanza poleni sana kwa misiba iliyoikumba nchi yetu.

Pili, watu huelewa uchapakazi wako bila wewe kuwaambia.

Wanaweza wakakupendekeza kama uchapakazi wako ni mzuri au wasikupendekeze kilibgana na uchapakazi wako wa hovyo hovyo.

Wewe unatosh kabisa
 
Mwanakijiji wa Chato
 
Back
Top Bottom