Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

Hiyo nafasi naiomba ninauzoefu nayo sema nilifanyia sayari ya dunia ya pili
 
Kwanza poleni sana kwa misiba iliyoikumba nchi yetu.

Pili, watu huelewa uchapakazi wako bila wewe kuwaambia.

Wanaweza wakakupendekeza kama uchapakazi wako ni mzuri au wasikupendekeze kulingana na uchapakazi wako wa hovyo hovyo.

Ile watu wakisema fulani anafaa basi hata usipopewa nafasi hiyo elewa kuwa unafaa na jamii inakukubali hivyo unapaswa kuendeleza imani hiyo kwa jamii inayokuzunguka.

Swali liko hapo juu, wewe wadhani nani anaweza kuvaa kiatu cha Injinia na kwa nini unamfikiria huyo?

Ingawa umri wake imeenda lakini binafsi namfikiria Katibu mkuu wa utumishi Dr. Laurian Ndumbaro

Kwanini:-

Ni mchapa kazi, ana uzoefu wa muda mrefu kazini na ametulia-hana mapepe mapepe.

2........

3........

4......
Kutoka kanda pendwa
 
Utu uko wapi, mtu hajazikwa, badala ya kutumia muda huu kumwombea marehemu na kuifariji familia ya marehemu, watu wanafikiria vyeo!!!
 
Unamwombea nini marehemu mkuu, ukishakufa ndiyo habari yako imeisha hiyo hakuna kitachobadilisha chochote hata akiombewa mwaka mzima. Muda wa kutengeneza mambo yako ni kipindi ukiwa hai
 
Kwanza poleni sana kwa misiba iliyoikumba nchi yetu.

Pili, watu huelewa uchapakazi wako bila wewe kuwaambia.

Wanaweza wakakupendekeza kama uchapakazi wako ni mzuri au wasikupendekeze kulingana na uchapakazi wako wa hovyo hovyo.

Ile watu wakisema fulani anafaa basi hata usipopewa nafasi hiyo elewa kuwa unafaa na jamii inakukubali hivyo unapaswa kuendeleza imani hiyo kwa jamii inayokuzunguka.

Swali liko hapo juu, wewe wadhani nani anaweza kuvaa kiatu cha Injinia na kwa nini unamfikiria huyo?

Ingawa umri wake imeenda lakini binafsi namfikiria Katibu mkuu wa utumishi Dr. Laurian Ndumbaro

Kwanini:-

Ni mchapa kazi, ana uzoefu wa muda mrefu kazini na ametulia-hana mapepe mapepe.

2........

3........

4......
Dr. Laurean Ndumbaro hafai kabisaaaaa!!!. Hata nafasi aliyokalia sasa ina mpwaya kabisa.

Dr. Laurean Ndumbaro ana matatizo makuu yafuatayo ambayo yanafanya asiwe mtu sahihi kukalia hiyo nafasi ya KMK;

1. The man us very allogant

2. Mara nyingi anafanya maamuzi bila kuyafanyia analysis

3. Anapenda kutumika na baadhi ya viongozi wa taasisi za umma kuwaumiza watumishi kwa kuwahamisha kiholela

4. Kuna watu wanadai kuwa the man is corrupted to the extent kwamba akipewa fedha anaweza kumpangia mtu kazi ambayo hana ujuzi nayo na hajasomea. Mfano mzuri, kuna taasisi moja nyeti huko kusini kapelekwa mwana mama mmoja kwa nafasi ya ukurugenzi wakati hata mambo ya uhasibu hajasomea.

Nashauli atafutwe mtu mwingine kwenye hiyo nafasi lakini Dr. Laurean Ndumbaro hafai.

Mkitaka tutawaletea orodha ya baadhi ya viongozi wa taasisi za umma walioshirikiana na Dr. Laurean Ndumbaro kuwaumiza watumishi wa umma kwa matakwa binafsi.
 
Back
Top Bottom