Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimependa unavyowajua hawa watu,tuseme tu,yeyote kati hao uliotupaKwangu mimi ni huyo huyo. Dr. Laurian Ndumbaro. Ana utulivu. Haonekani kuwa na mihemko. Hata kama umri umeenda lkn hiyo nafasi yenyewe inahitaji hao wenye umri mkubwa. Anaonekana ni mmatengo/mngoni wa mkoa wa Ruvuma((Mbinga.)
Wa pili ni Prof. Faustine Bee ambaye kwa sasa ni VC wa UDOM. Ameituliza udom ambayo ilianza kutokuwa na utulivu kati ya watumishi. Huyu aliwahi kuongoza chuo cha Ushirika-Moshi. Inaonekana ni muiraq wa mkoa wa Manyara/Arusha(Karatu)
3. Professor Victor Samwel Manyele. Huyu aliwahi kuwa Mkemia Mkuu wa serikali. Ni mtu wa Rukwa, wilaya ya Kalambo(Mfipa).
4. David Mfinanga; DVC-Admin UDSM- Mhandisi wa Transportation. Huyu ni mpare. Changamoto yake ni Sefue ametoka juzi tu. Sefue naye alikuwa mpare.
5; Elius Mwakalinga; Huyu ni aktekt(Arch.) Katibu mkuu-Ujenzi, Ni mnyakyusa wa Kyela.
6. Tito Mwinuka; Huyu ni mhandisi wa umeme. Ni mkurugenzi wa TANESCO kwa sasa. Ni mbena huyu.
Kazi kwenu vikosi vya vetting na kamati za uteuzi. Lakini tusubiri mdudu apoe kidogo ndio shughuli zianze.
Wilbroad SlaaKwangu mimi ni huyo huyo. Dr. Laurian Ndumbaro. Ana utulivu. Haonekani kuwa na mihemko. Hata kama umri umeenda lkn hiyo nafasi yenyewe inahitaji hao wenye umri mkubwa. Anaonekana ni mmatengo/mngoni wa mkoa wa Ruvuma((Mbinga.)
Wa pili ni Prof. Faustine Bee ambaye kwa sasa ni VC wa UDOM. Ameituliza udom ambayo ilianza kutokuwa na utulivu kati ya watumishi. Huyu aliwahi kuongoza chuo cha Ushirika-Moshi. Inaonekana ni muiraq wa mkoa wa Manyara/Arusha(Karatu)
3. Professor Victor Samwel Manyele. Huyu aliwahi kuwa Mkemia Mkuu wa serikali. Ni mtu wa Rukwa, wilaya ya Kalambo(Mfipa).
4. David Mfinanga; DVC-Admin UDSM- Mhandisi wa Transportation. Huyu ni mpare. Changamoto yake ni Sefue ametoka juzi tu. Sefue naye alikuwa mpare.
5; Elius Mwakalinga; Huyu ni aktekt(Arch.) Katibu mkuu-Ujenzi, Ni mnyakyusa wa Kyela.
6. Tito Mwinuka; Huyu ni mhandisi wa umeme. Ni mkurugenzi wa TANESCO kwa sasa. Ni mbena huyu.
Kazi kwenu vikosi vya vetting na kamati za uteuzi. Lakini tusubiri mdudu apoe kidogo ndio shughuli zianze.
Paul Makonda anafaa sana kazi hiyo. Mkuu amfikirie!Mkuu Masanja KAJALA au MKANDAMIZAJI?
Mimi nadhani Babu Tale Anafaa!
Dr. Laurean Ndumbaro hafai kuwa KMK.Ni muda wa kuwaweka wazi hao watumishi wengine bila hivyo utakuwa na chuki binafsi kwa Dr. Ndumbaro.
Kwani IKAMA inasemaje??...Mkurugenzi wa Fedha ni lazima awe aliesomea mambo ya fedha na sio vinginevyo!!!Kwani mkurugenzi lazma awe muhasibu.majungu mengine ya kipumba...
Hata Prof. Mabula Mchembe anafaa sana.Wafuatao wanaweza kuteuliwa
1. Kusiluka katibu ofisi ya Rais
2. Ngusa ktb wa Rais na mniikulu
3. Prof Gabriel Km wizara mifugo
4. Ras Tabora
5- Ras mtwara
6.Kwakuwa Kijazi alitokea ubalozi india tusishange kuona Balozi mmojawapo
7. Kama ni mwanasiasa basi awe na historia ya utendaji
a. kidataKwanza poleni sana kwa misiba iliyoikumba nchi yetu.
Pili, watu huelewa uchapakazi wako bila wewe kuwaambia.
Wanaweza wakakupendekeza kama uchapakazi wako ni mzuri au wasikupendekeze kulingana na uchapakazi wako wa hovyo hovyo.
Ile watu wakisema fulani anafaa basi hata usipopewa nafasi hiyo elewa kuwa unafaa na jamii inakukubali hivyo unapaswa kuendeleza imani hiyo kwa jamii inayokuzunguka.
Swali liko hapo juu, wewe wadhani nani anaweza kuvaa kiatu cha Injinia na kwa nini unamfikiria huyo?
Ingawa umri wake imeenda lakini binafsi namfikiria Katibu mkuu wa utumishi Dr. Laurian Ndumbaro
Kwanini:-
Ni mchapa kazi, ana uzoefu wa muda mrefu kazini na ametulia-hana mapepe mapepe.
2........
3........
4......
Hawezi kupenya. Utasema na Abel Makubi lkn hawapenyi. Ni ngumu. Kuna Masanja Kadogosa pia lkn ndio hivyo tena. Kuna kanuni na taratibu zisizoandikwa, ambazo zinakuwa kikwazo kwao.Hata Prof. Mabula Mchembe anafaa sana.