Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

Ni muda wa kuwaweka wazi hao watumishi wengine bila hivyo utakuwa na chuki binafsi kwa Dr. Ndumbaro.
 
Wafuatao wanaweza kuteuliwa
1. Kusiluka katibu ofisi ya Rais
2. Ngusa ktb wa Rais na mniikulu
3. Prof Gabriel Km wizara mifugo
4. Ras Tabora
5- Ras mtwara
6.Kwakuwa Kijazi alitokea ubalozi India tusishange kuona Balozi mmoja wapo
7. Kama ni mwanasiasa basi awe na historia ya utendaji
 
Wafuatao wanaweza kuteuliwa
1. Kusiluka katibu ofisi ya Rais
2. Ngusa ktb wa Rais na mniikulu
3. Prof Gabriel Km wizara mifugo
4. Ras Tabora
5- Ras mtwara
6.Kwakuwa Kijazi alitokea ubalozi india tusishange kuona Balozi mmojawapo
7. Kama ni mwanasiasa basi awe na historia ya utendaji
Namba moja anafaa
 
Kwani mkurugenzi lazima awe muhasibu, majungu mengine ya kipumba.
 
Back
Top Bottom