Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

Kwanza poleni sana kwa misiba iliyoikumba nchi yetu.

Pili, watu huelewa uchapakazi wako bila wewe kuwaambia.

Wanaweza wakakupendekeza kama uchapakazi wako ni mzuri au wasikupendekeze kulingana na uchapakazi wako wa hovyo hovyo.

Ile watu wakisema fulani anafaa basi hata usipopewa nafasi hiyo elewa kuwa unafaa na jamii inakukubali hivyo unapaswa kuendeleza imani hiyo kwa jamii inayokuzunguka.

Swali liko hapo juu, wewe wadhani nani anawezma kuvaa kiatu cha Injinia na kwa nini unamfikiria huyo?

Ingawa umri wake imeenda lakini binafsi namfikiria Katibu mkuu wa utumishi Dr. Laurian Ndumbaro

Kwanini:-

Ni mchapa kazi, ana uzoefu wa muda mrefu kazini na ametulia-hana mapepe mapepe.

2........

3........

4......
Here Iam.
 
Kwanza poleni sana kwa misiba iliyoikumba nchi yetu.

Pili, watu huelewa uchapakazi wako bila wewe kuwaambia.

Wanaweza wakakupendekeza kama uchapakazi wako ni mzuri au wasikupendekeze kulingana na uchapakazi wako wa hovyo hovyo.

Ile watu wakisema fulani anafaa basi hata usipopewa nafasi hiyo elewa kuwa unafaa na jamii inakukubali hivyo unapaswa kuendeleza imani hiyo kwa jamii inayokuzunguka.

Swali liko hapo juu, wewe wadhani nani anaweza kuvaa kiatu cha Injinia na kwa nini unamfikiria huyo?

Kinana angekuwepo angefaa sana .
Labda ampe kimei

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sory mkuu hivi mbunge anaweza kuwa katibu pia ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naona wewe unafaa sana na natamani siku na wewe ukifa kabla ata kuoshwa watokee mabaharia washauriane jinsi ya kumrithi mkeo.
 
Punguzeni vitimbi na chukulia msiba wa mwenzio kama vile ungeombeleza ukifikwa na msiba wa mtu wako wa karibu.
Acha basi utani braza! hawa watu walikuwa kwenye nafasi za maamuzi. Siyo average citizens-walikuwa na dhamana ya nafasi kubwa! wangeweza kushape response ya taifa letu kwenye hili janga.

Huyu Mh. mara nyingi ameonekana hata hana barakoa! Leo tunaletewa nonsense eti kifo ni mpango wa Mungu! kuna kifo cha kawaida ambacho wote tunakisubiri..Lakini kuna vifo vya uzembe na kutojali. Kinachoendelea hapa kwetu ni vifo vinavyochangiwa na kutojali na uzembe. Viongozi wakubwa kama hawa wana la kujibu mbele ya Mwenyezi Mungu.

Namuombea afike huko Mbinguni akutane na Mungu amuulize alifanya nini kwa nafasi yake kuwakinga raia wenzake na hili janga.
 
Nilikuwa namiwaza huyuhuyu! Ndumbaro yuko vizuri sana!
Kwanza poleni sana kwa misiba iliyoikumba nchi yetu.

Pili, watu huelewa uchapakazi wako bila wewe kuwaambia.

Wanaweza wakakupendekeza kama uchapakazi wako ni mzuri au wasikupendekeze kulingana na uchapakazi wako wa hovyo hovyo.

Ile watu wakisema fulani anafaa basi hata usipopewa nafasi hiyo elewa kuwa unafaa na jamii inakukubali hivyo unapaswa kuendeleza imani hiyo kwa jamii inayokuzunguka.

Swali liko hapo juu, wewe wadhani nani anaweza kuvaa kiatu cha Injinia na kwa nini unamfikiria huyo?

Ingawa umri wake imeenda lakini binafsi namfikiria Katibu mkuu wa utumishi Dr. Laurian Ndumbaro

Kwanini:-

Ni mchapa kazi, ana uzoefu wa muda mrefu kazini na ametulia-hana mapepe mapepe.

2........

3........

4......
 
Balozi Ndugu KAIRUKI anatufaa kwa kuwa ameshikilia Diplomasia yetu ktk taifa kubwa bila kutetereka.
Huu ni ukomavu na ubebevu ktk tasnia hii ya kimataifa.
He is a man who speaks by action rather words.
Kwa nafasi ataweza kufanya vizuri Kama Marehemu Kijazi.
Mungu amrehemu Chief Secretary Kijazi.

Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
 
Kwangu mimi ni huyo huyo. Dr. Laurian Ndumbaro. Ana utulivu. Haonekani kuwa na mihemko. Hata kama umri umeenda lkn hiyo nafasi yenyewe inahitaji hao wenye umri mkubwa. Anaonekana ni mmatengo/mngoni wa mkoa wa Ruvuma((Mbinga.)
Wa pili ni Prof. Faustine Bee ambaye kwa sasa ni VC wa UDOM. Ameituliza udom ambayo ilianza kutokuwa na utulivu kati ya watumishi. Huyu aliwahi kuongoza chuo cha Ushirika-Moshi. Inaonekana ni muiraq wa mkoa wa Manyara/Arusha(Karatu)
3. Professor Victor Samwel Manyele. Huyu aliwahi kuwa Mkemia Mkuu wa serikali. Ni mtu wa Rukwa, wilaya ya Kalambo(Mfipa).
4. David Mfinanga; DVC-Admin UDSM- Mhandisi wa Transportation. Huyu ni mpare. Changamoto yake ni Sefue ametoka juzi tu. Sefue naye alikuwa mpare.
5; Elius Mwakalinga; Huyu ni aktekt(Arch.) Katibu mkuu-Ujenzi, Ni mnyakyusa wa Kyela.
6. Tito Mwinuka; Huyu ni mhandisi wa umeme. Ni mkurugenzi wa TANESCO kwa sasa. Ni mbena huyu.
Kazi kwenu vikosi vya vetting na kamati za uteuzi. Lakini tusubiri mdudu apoe kidogo ndio shughuli zianze.
#6
 
Kwanza poleni sana kwa misiba iliyoikumba nchi yetu.

Pili, watu huelewa uchapakazi wako bila wewe kuwaambia.

Wanaweza wakakupendekeza kama uchapakazi wako ni mzuri au wasikupendekeze kulingana na uchapakazi wako wa hovyo hovyo.

Ile watu wakisema fulani anafaa basi hata usipopewa nafasi hiyo elewa kuwa unafaa na jamii inakukubali hivyo unapaswa kuendeleza imani hiyo kwa jamii inayokuzunguka.

Swali liko hapo juu, wewe wadhani nani anaweza kuvaa kiatu cha Injinia na kwa nini unamfikiria huyo?

Ingawa umri wake imeenda lakini binafsi namfikiria Katibu mkuu wa utumishi Dr. Laurian Ndumbaro

Kwanini:-

Ni mchapa kazi, ana uzoefu wa muda mrefu kazini na ametulia-hana mapepe mapepe.

2........

3........

4......
Jidulamabambasi
 
Huyu uliyemtaja HAFAI KABISA kwa nafasi hii...tumewaambia mara zote, Afrika inahitaji viongozi wenye uwezo wa kuleta majibu ya changamoto zilizopo, uzoefu na uchapakazi si sifa za kuangalia kwanza unapotafuta mtu kujaza nafasi fulani!uwezo na mafanikio kwa jukumu lolote upimwe kwa ALAMA, kwamba kitu, au jambo gani muhusika amefanya litabaki kumbukumbu kwamba alishika nafasi hiyo!! wizara ya utumishi wa umma inayo nafasi ya kutatua tatizo kubwa la ajira tulilo nalo kwa sasa, Ndumbaro hana jipya zaidi ya kuendelea kutunza hayo aliyoyakuta kutoka kwa watangulizi wake...kwa nafasi hii ya CS apatikane mtu ambae ni problem solver, mtu anayefanya sehemu yake kwa kwenda hatua mbele zaidi kuwatumikia watu.., mtu mwenye maarifa, siyo vyeti, mjuzi na upeo wa kutosha hasa kisiasa na kiuchumi, anayeheshimika, jasiri na mcha Mungu! tuachane na mazoea na kawaida zilizopo, tuvuke hapo..miaka 60 baada ya uhuru ni umri wa mtu mzima, tutende kama taifa lenye hadhi ya utu uzima!! sisi siyo watoto au vijana, maamuzi yetu yaonyeshe sisi ni taifa lenye umri wa mtu mzima!
Dr. Wilbroad Slaa anafaa kwa sasa kukamilisha hii miaka mingine 5 ya Dr. Magufuli, naamini atatengeneza system nzuri ya succession kwenye nafasi hii kwa ajili ya mwelekeo mzuri wa taifa letu!
 
Wadau japo ni mapema sana, ila tutambue katibu mkuu kiongozi lazima/kawaida atakuwa ni mtumishi wa umma, kwahiyo tusitaje majina ya wanasiasa.
 
Kwanza poleni sana kwa misiba iliyoikumba nchi yetu.

Pili, watu huelewa uchapakazi wako bila wewe kuwaambia.

Wanaweza wakakupendekeza kama uchapakazi wako ni mzuri au wasikupendekeze kulingana na uchapakazi wako wa hovyo hovyo.

Ile watu wakisema fulani anafaa basi hata usipopewa nafasi hiyo elewa kuwa unafaa na jamii inakukubali hivyo unapaswa kuendeleza imani hiyo kwa jamii inayokuzunguka.

Swali liko hapo juu, wewe wadhani nani anaweza kuvaa kiatu cha Injinia na kwa nini unamfikiria huyo?

Ingawa umri wake imeenda lakini binafsi namfikiria Katibu mkuu wa utumishi Dr. Laurian Ndumbaro

Kwanini:-

Ni mchapa kazi, ana uzoefu wa muda mrefu kazini na ametulia-hana mapepe mapepe.

2........

3........

4......
Makonda ndo atafaa kumrithi maana anatoka koromije
 
Back
Top Bottom