KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,789
- 4,951
Yeyote yule atakayeteuliwa ndio anastahili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengine nashauri tumalize msiba kwanza ndipo mseme.Kwa mbali baada ya maombolezo ninaweza kushauri Dr Tax Stegormena au prof ElisanteTatizo moja la mteuzi haangalii tu sifa za amteuaye lakini pia comfort yake iwapo atamweka karibu naye huyo amteuaye. Mara nyingi wale ambao hana ukaribu nao ama ni kama anataka wapumzike ndio amekua akiwapeleka huko 'mbali' nae kwa kofia za kibalozi, refer Mangu, KP, Kairuki, Dau, Asha Rose mwenyewe pia etc. So wacha tuone, upper hand aliyonayo Dr. Stegormena Tax ni kwamba ameshaserve kama Permanent Secretary kwa muda mrefu tu kabla ya kuteuliwa kwenda kuwa mtendaji wa SADC unlike Migiro ambaye ameserve nafasi za kisiasa zaidi hapa nchini kuliko utendaji. Kujua how public system machineries zinavyofanya kazi ni muhimu sana kwa nafasi ya CS
Atakuwa Katibu Mkuu Kiongozi wa Kwanza form 4 failure, aliyegushi jina. Nayo itakuwa miongoni mwa maajabu ya Dunia.Makonda ndio mtu sahihi hapo
Nonsense.Hakuna katibu mkuu wa wizara mwenye uwezo wa ukatibu mkuu kiongozi, wengi waliopo wameingia bila uzoefu jambo linalowakwamisha kuyajua mambo mengi. Lakini pia wengi hawana expossure kama alivyokuwa Sefue na Kijazi.
Turufu inabaki kwenye vyombo vya dola na ubalozini, tutegemee jina jipya
Kama ni Mwendelezo wa Mabalozi, basi Hussein Kattanga atafikiriwa na anafaaAliyepita pia balozi ombeni sefue nae alikuwa balozi na sas aliefariki pia Ni balozi balozi wa Nigeria namuona
Atajuvua nguo kama anasema uongo,Mi naona Kangi Lugola atafaa zaidi
Na pale bungeni kwa sababu ilibidi aulize, akipelekwa Ikulu huyu si atasaula kweli?Atajuvua nguo kama anasema uongo,
Jiwe hua hafundishwi! Yeye kama kocha anajua nani acheze kipindi cha kwanza na nani atokee sub.
Yaani Wewe leo hii ndiyo unajua kuwa Makatibu Wakuu Viongozi wote huwa wanateuliwa kutoka TISS? Pole kwa Kuchelewa kulijua hili kwani hata Marehemu alikuwa miongoni mwao bila kuwasahau waliopita akina Mzee Butiku, Mrisho na wengineo.Hakuna katibu mkuu wa wizara mwenye uwezo wa ukatibu mkuu kiongozi, wengi waliopo wameingia bila uzoefu jambo linalowakwamisha kuyajua mambo mengi. Lakini pia wengi hawana expossure kama alivyokuwa Sefue na Kijazi.
Turufu inabaki kwenye vyombo vya dola na ubalozini, tutegemee jina jipya
Butiku aliwahi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi?Yaani Wewe leo hii ndiyo unajua kuwa Makatibu Wakuu Viongozi wote huwa wanateuliwa kutoka TISS? Pole kwa Kuchelewa kulijua hili kwani hata Marehemu alikuwa miongoni mwao bila kuwasahau waliopita akina Mzee Butiku, Mrisho na wengineo.