Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

kwa maoni yangu, nikweli marehem alikuwa nasifa zte zakuwa katibu mkuu kiongozi.
nabaada ya Mungu kuruhusu apunzike, Naona mtu wakuvaa viatu vyake ni Dr. Hasan Abas , msemaji mkuu wa serikali na jatibu mkuu wizara ya Habari, utamaduni, sanaa na michezo.

kama kunamwingine unamuona zaidi ya huyu hebu weka hapa.
 
kwa maoni yangu, nikweli marehem alikuwa nasifa zte zakuwa katibu mkuu kiongozi.
nabaada ya Mungu kuruhusu apunzike, Naona mtu wakuvaa viatu vyake ni Dr. Hasan Abas , msemaji mkuu wa serikali na jatibu mkuu wizara ya Habari, utamaduni, sanaa na michezo.

kama kunamwingine unamuona zaidi ya huyu hebu weka hapa.
Mchizi Mox au Mpoki wanafaa sana.
 
Sijui inakuwaje yule jamaa akipewa hiyo nafasi Bwana Daudi Albert Bashite. Huyo ndio katibu mkuu kiongozi anaekuja
 
Nimesema kama wasingekuwa wabunge wa kuchaguliwa basi Selemani Jaffo au Dr Mwigullu Nchemba wangefaa kumrithi balozi Kijazi japo kiukweli hawavifikii kabisa viwango vyake.

Toa mawazo yoko.

Pale Chadema hakuna anayetosha atwaliwe kwa mkopo?

Maendeleo hayana vyama!
 
Hili la huyu mwanamama kwenda kuwa mkurugenzi wa fedha limetushangaza wengi. Japo yasemekana alipokuwapo alikuwa kama key witness kwenye kesi iliyomtumbua mkurugenzi wa shirika alilokuwa akifanyia kazi. Huyu dada ana sifa na experience ya kutosha ya mambo ya Rasirimali watu na sio fedha.

Kwa nafasi anazopata mama huyu lazima ana bahati sio ya nchii na anajua vizuri kula na wakubwa. Hata alipokuwa Tanesco pia alibebwa sana na mkurugenzi wa tanesco.
In fact madudu aliyoyafanya aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa shirika hilo ambapo badae alikuja kutumbuliwa huwezi ukamu-exclude huyu mwanamke kwasababu madudu yote kwa kiasi kikubwa walifanya pamoja mbali ya kwamba walikuwa na mahusiano mengine ya boy and girl friend wakiwa kwenye hilo shirika.

Bada ya ujio tu wa watu hao wawili kwenye hilo shirika shirika likaanza kwenda mlama tofauti ilivyokuwa hapo awali. Hata kwenye utaalamu wa mambo ya HR kwenyewe nako ni shida, she is very unethical!....ujanjaujanja tu na lobbying ndio anachokitumia, otherwise integrity yake ni zero kabisa!!!
 
Mwigulu nchemba Jana amepiga marufuku kuwataja marehemu akiwemo huyo jamaa....ebu mwacheni marehemu wetu apumzike huko aliko
 
Kuna za chini ya kapeti nimezipata kutoka kwa mtu mzito kwamba moja ya majina yanayopendekezwa kuvaa viatu vya katibu mkuu kiongozi ni kijana mchapakazi kutoka mitaa ya Kolomije Paul Makonda.
Kwa hiyo wewe utakuwa ni PS wake mtarajiwa bila shaka.
 
Askofu Gwajima kwani anasemaje kuhusu vyeti vyake vya form four?

Bado ana 0 au ali reseat?
 
Hakuna katibu mkuu wa wizara mwenye uwezo wa ukatibu mkuu kiongozi, wengi waliopo wameingia bila uzoefu jambo linalowakwamisha kuyajua mambo mengi. Lakini pia wengi hawana expossure kama alivyokuwa Sefue na Kijazi.

Turufu inabaki kwenye vyombo vya dola na ubalozini, tutegemee jina jipya
 
Liquid atafaa sana kwenye hiyo nafasi. Nadhani anamzidi busara kidogo Bashite.
 
Prof. Elisante Ole Gabriel, KM mifugo, yupo cool, smart and principled, huyo Ndumbaro yupo pale utumishi kutekeleza maagizo ya jiwe kukandamiza maslahi ya watumishi, mwaka wa sita hakuna nyongeza ya mshahara, hakuna kupanda vyeo, kupunguza mishahara ya watumishi, ili jiwe abaki na pesa za kutosha kujenga himaya ya chattle...ukweri razima usemwe kama ulivyo au nasema uongo
 
Back
Top Bottom