Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

Pengine nashauri tumalize msiba kwanza ndipo mseme.Kwa mbali baada ya maombolezo ninaweza kushauri Dr Tax Stegormena au prof Elisante
Wazoefu na cool.
 
Kwann tunadhani hakuna anayefaa?Wapo wengi sana zama hizi kwani ahijajiki mtu anayetumia akili nyingi ila yule anayefuata maagizo na kuogelea na wakati. Wapo wengi sana hata Deo Sanga ana faa tu.Au nasema uongo ndugu zangu
 
Nonsense.
 
Ex Wabunge, ex mawaziri au RC kama hawajawahi kuwa watendaji ktk historiA zao msiwahesabu kabisa. Hii ni nafasi ya utendaji
 
Utendaji wa kangi ni ule wa polisi na ubebaji siwa bunge la afrika mashariki, makonda utendaji alioufanya ni wa daladala za kolomije na ukaimu katibu wa hamasa umoja wa vijana
 
Yaani Wewe leo hii ndiyo unajua kuwa Makatibu Wakuu Viongozi wote huwa wanateuliwa kutoka TISS? Pole kwa Kuchelewa kulijua hili kwani hata Marehemu alikuwa miongoni mwao bila kuwasahau waliopita akina Mzee Butiku, Mrisho na wengineo.
 
Yaani Wewe leo hii ndiyo unajua kuwa Makatibu Wakuu Viongozi wote huwa wanateuliwa kutoka TISS? Pole kwa Kuchelewa kulijua hili kwani hata Marehemu alikuwa miongoni mwao bila kuwasahau waliopita akina Mzee Butiku, Mrisho na wengineo.
Butiku aliwahi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi?
 
RIP Katibu Mkuu Kiongozi, umeumaliza mwendo. Binafsi namuomba Mungu sana, huyo Mtendaji Mkuu wa Serikali ajaye naye asaidie watumishi wa Serikali ya nchi hii. Asaidie kupata ajira kwa usawa, nyongeza ya mshahara, kupanda madaraja, teuzi kwa kufuata taratibu, kanuni na Sheria zilizopo kwa watumishi wote wanaostahili. Watumishi wengi wanamasononeko mengi mno kuhusu Haki zao japo hawana uwezo wa kuonyesha uhalisia. Naamini wakitendewa Haki yao, mafanikio yataongezeka Mara dufu. Mungu ibariki Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…