Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

Ni wachache sana wanaolewa au watakaolewa ulichoandika.
 
kijazi tena kwa sababu eti vijazi ni waadilifu sana,ngoja tuone.
 
Kabisa jana nilisikia Ndumbaro yule Katibu mkuu Utumishi ndo mzungumzaji mkuu nikanusa harufu yeye kukwaa hiyo nafasi.
Huyu bwana ngumbaru ndo kakalia maslahi ya watumishi kwa lengo la kumfurahisha jiwe afanye white elephant projects na kujenga himaya pale chatu...
 
Namshauri kama kawaida amteue mtanzania mzalendo, mchapakazi na muadilifu zaidi mnyenyekevu kwa kila mmoja.
 
We Nairobian ndo Allan Kijazi,! Unapiga promo upewe hicho cheo.
 
Mfia nchi gani ulitumbuliwa, ebu jitambulishe kwa majina tukufshamu ndiyo tutapima unachosema isije kuwa ni kutsfutiana ulaji kiaina.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…