Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

Naona bwana Allan Kijazi unajipigia debe.Kama Mwinyi Kama Kijazi.
 
Huyu bwana ngumbaru ndo kakalia maslahi ya watumishi kwa lengo la kumfurahisha jiwe afanye white elephant projects na kujenga himaya pale chatu...
Nikiangalia Ngubaru ni tatizo kubwa ni bora awe yeye atoke pale utumishi
 
Kwa hiyo madudu yote ya Magufuli mshauri alikuwa Kijazi?
 
Nikiangalia Ngubaru ni tatizo kubwa ni bora awe yeye atoke pale utumishi
Mkuu akipanda si ndo anakuwa bosi wa ma KM wote? kwa hiyo hapo ndo atakuwa anashusha rungu zito zaidi pale utumishi maana kunakuwa hakuna mtu wa kumthibiti...
 
teuzi kama teuzi mwaisha
 
Rais amchukue mtu kutoka taasisi za Elimu ya juu, Taasisi kubwa za umma, Makatibu wakuu waliopo au kutoka kati ya mabalozi. Taasisi za elimu ya juu hasa VCs na DVCs wapewe kipaumbele. Sababu kubwa ni ukubwa wa taasisi zana aina ya watu wanaowaongoza wanawafanya kuwa wavumilivu na kujua namna ya kuongoza kwa busara.
 
Unafaa mno kuwa Jaribio la Dawa mpya za Kutibu Watu ( Watanzania ) Wendawazimu ( Matahaira )
 
Kwa sasa kinachoangaliwa ni nani mwenye uwezo mkubwa wa kujipendekeza na kufuata sheria na matamko ya jiwe na siyo capacity ya kufanya kazi kwa bidii.
 
Mkuu akipanda si ndo anakuwa bosi wa ma KM wote? kwa hiyo hapo ndo atakuwa anashusha rungu zito zaidi pale utumishi maana kunakuwa hakuna mtu wa kumthibiti...

Mkuu akipanda si ndo anakuwa bosi wa ma KM wote? kwa hiyo hapo ndo atakuwa anashusha rungu zito zaidi pale utumishi maana kunakuwa hakuna mtu wa kumthibiti...
Ngumbaru hata ile nafasi aliyopo haimtoshi. Ngumbaru mbali ya kuwa kakalia maslahi ya watumishi, pia the man is corrupt and uethical!!!

Kwani KMK hadhibitiwi??, Bosi wa KMK ni Mh. Rais na hali kadharika Bosi wa Katibu Mkuu Mgt ta Utumishi wa Umma ni Waziri - administratively na Mh. Rais - functionally!!
 
Kabisa jana nilisikia Ndumbaro yule Katibu mkuu Utumishi ndo mzungumzaji mkuu nikanusa harufu yeye kukwaa hiyo nafasi.
La hasha!!, wala usiwe ni mawazo hayo kwamba eti kwasababu Ndumbaro alisoma wasifu wa marehemu akiwa mtumishi wa umma basi ataikwaa nafasi ya KMK iliyoachwa na marehemu Kijazi-RIP.

Kilichomfanya Ndumbaro asome wasifu wa marehemu ni kwasababu marehemu alikuwa ni KMK mwenye jukumu la watumishi wote wa umma wakiwemo Makatibu Wakuu wote.

Hivyo kutokana na nafasi aliyokuwa nayo marehemu na ukizingatia kuwa Ndumbaro ni Katibu Mkuu wa Mgt ya Utumishi wa Umma ilikuwa ni wajibu wake kufanya hivyo.

Waziri wake Ndumbaro kwa maana ya Mkuchika asingeweza kufanya kazi ya kusoma wasifu wa marehemu kwasababu hiyo ni shughuli ya ki-utendaji na sio ya ki-sera.
 
Hata wewe unafaa sana tu. Endelea kupiga jalamba mwanawani
 
Atajifunza hivyo hivyo.
 
Jiwe huwa hapangiwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…