Mh. Rais, mimi ni mpinzani wako mkubwa sana maana ulinitumbua bila sababu maalum, ila kuna machache nitakuunga mkono.
Nikiwa serikalini, nilifanya kazi na John Kijazi pamoja na Allan kijazi. Nakiri kwamba hawa watu nj waadilifu wa hali ya juu. Allan ni kama kaka yake.
Najua unawapenda watu waadilifu. Kwa maslahi mapana ya taifa, mteue, Allan Kijazi awe Katibu Mkuu Kiongozi. Tafadhali sana. Huyu mtu muadilifu kupitiliza. Ukienda TANAPA yuko safi miaka yote amesimamia taasisi.
Mpinzani wako, mfia nchi.