Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?


Bwana Gunze
 
Nafasi gani hiyi mkuu? Mbona Kusini hakuna Mkurugenzi mwanamama!

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Wakati shughuli na michakato ikiendelea jijini Dodoma kumchagua Mwenyekiti wa chama napendekeza Katibu Mkuu wa CCM awe Mzanzibar maana huyo ndo atakayeendana na Mwenyekiti. Hoja ya pili hapa ni kwa sababu ni muda sasa hatujapata katibu mkuu kutoka upande wa pili wa muungano. Napendekeza Dk Mabodi ambaye ni Naibu katibu Mkuu Zanzibar apewe nafasi hii kwani ana uzoefu mkubwa ndani ya chama na nimuungwana sana.
wasalaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…