Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Hujanipata mkuu kwani ukimfuta kazi pm inakulazimu kuvunja bunge?

Hizo gharama za kurudia uchaguzi unazicover na fedha gani wakati watu ni ombaomba?
Huvunji bunge mkuu.
Bali baraza la mawaziri ndilo huvunjika
 
Sasa kama alikuwa anataka kumtoa Majaliwa hakuwa na sababu ya kulifanyia marekebisho baraza la mawaziri leo...angeaza na PM moja kwa moja then angetangaza upya baraza la mawaziri.
Katoa wote asiowataka kamwacha Majaliwa ili ajiongeze
 
Pindi tutakapopata Spika Mpya Waziri Mkuu atajiuzulu kwa hiari au kulazimishwa. Then Mama ataunda serikali yake kamili na mpya ya awamu ya sita
 
Jiwe Alisema Ukiona Unatajwa Achia Ngazi
 
Julius Nyerere
Rashid Kawawa
Edwad Sokoine
Cleopa msuya
Edwad Sokoine (second time)
Salim A Salim
Joseph Warioba
John Malechela
Cleopa Msuya (Second time)
Fedrec Sumaye
Edwad Lowassa
Mizengo pinda
Majaliwa Majaliwa

Who is next?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…