Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Sasa kama alikuwa anataka kumtoa Majaliwa hakuwa na sababu ya kulifanyia marekebisho baraza la mawaziri leo...angeaza na PM moja kwa moja then angetangaza upya baraza la mawaziri.
Katoa wote asiowataka kamwacha Majaliwa ili ajiongeze
 
Pindi tutakapopata Spika Mpya Waziri Mkuu atajiuzulu kwa hiari au kulazimishwa. Then Mama ataunda serikali yake kamili na mpya ya awamu ya sita
 
Julius Nyerere
Rashid Kawawa
Edwad Sokoine
Cleopa msuya
Edwad Sokoine (second time)
Salim A Salim
Joseph Warioba
John Malechela
Cleopa Msuya (Second time)
Fedrec Sumaye
Edwad Lowassa
Mizengo pinda
Majaliwa Majaliwa

Who is next?
 
Back
Top Bottom