babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,916
- 6,697
Huvunji bunge mkuu.Hujanipata mkuu kwani ukimfuta kazi pm inakulazimu kuvunja bunge?
Hizo gharama za kurudia uchaguzi unazicover na fedha gani wakati watu ni ombaomba?
Bali baraza la mawaziri ndilo huvunjika