Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Julius Nyerere
Rashid Kawawa
Edwad Sokoine
Cleopa msuya
Edwad Sokoine (second time)
Salim A Salim
Joseph Warioba
John Malechela
Cleopa Msuya (Second time)
Fedrec Sumaye
Edwad Lowassa
Mizengo pinda
Majaliwa Majaliwa

Who is next?
Dk. Kasheku Musukuma,Phd.
 
Waziri mkuu hawezi jiuzulu. Akijiuzulu maana baraza la mawaziri limevunjika. Ina maana Samia apange tena upya baraza la mawaziri ?Sasa itakuwa utoto.
Kupanga baraza ni rahisi zaidi kuliko kumfukuza kazi PM.Nadhani hii inaitwa creative accounting unaanzia jibu unakuja kwenye swali.hapa PM amepewa mda wa kutafakari tuu.kuliko kutupwa nje amepewa wankuachia ngazinili abaki na heshima yake.so pm atachia ngazi halafu raisi atawarudisha walewale aliokwisha watangaza leo kwenye baraza jipya
 
H
Pindi tutakapopata Spika Mpya Waziri Mkuu atajiuzulu kwa hiari au kulazimishwa. Then Mama ataunda serikali yake kamili na mpya ya awamu ya sita
Hakuna kitu kama hiko, kumbuka Waziri Mkuu akijiuzulu serikali inakuwa imevunjika, hivyo Rais atatakiwa aunde upya baraza la mawaziri
 
Julius Nyerere
Rashid Kawawa
Edwad Sokoine
Cleopa msuya
Edwad Sokoine (second time)
Salim A Salim
Joseph Warioba
John Malechela
Cleopa Msuya (Second time)
Fedrec Sumaye
Edwad Lowassa
Mizengo pinda
Majaliwa Majaliwa

Who is next?
Augustine Mrema
 
Pindi tutakapopata Spika Mpya Waziri Mkuu atajiuzulu kwa hiari au kulazimishwa. Then Mama ataunda serikali yake kamili na mpya ya awamu ya sita

Hii hiari au kulazimishwa imekaaje? Kuna kiongozi alishawahi kulazimishwa kujihuzuru?
 
Kila siku ni kuunda baraza la mawaziri?
2025 mwambieni ni karibu sanaaa.
Utafanya Nini wewe .....

Unafikili mama samia unaweza kumtoa kwa kupiga kura yako [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Mama samia humuwezi ..

Kisiasa

Kiccm

Ki NEC

Ki Bunge

Na 2025 huwezi kumtoa hata usipompigia kura [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sio lazima mimi hata Mungu atamtoa.
Alikaa Nyerere miaka 23.
Sembuse huyu jua linazama.
 
Julius Nyerere
Rashid Kawawa
Edwad Sokoine
Cleopa msuya
Edwad Sokoine (second time)
Salim A Salim
Joseph Warioba
John Malechela
Cleopa Msuya (Second time)
Fedrec Sumaye
Edwad Lowassa
Mizengo pinda
Majaliwa Majaliwa

Who is next?
Fred Lowassa
 
Pindi tutakapopata Spika Mpya Waziri Mkuu atajiuzulu kwa hiari au kulazimishwa. Then Mama ataunda serikali yake kamili na mpya ya awamu ya sita
Hilo lipo wazi nishaleta uzi humu
 
Back
Top Bottom