Da Lu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 1,209
- 2,840
Alivyosema Rais yupo mzima wa afya anachapa kazi kumbe anatuongopea.Kwani kafanya nn mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alivyosema Rais yupo mzima wa afya anachapa kazi kumbe anatuongopea.Kwani kafanya nn mkuu?
Dk. Kasheku Musukuma,Phd.Julius Nyerere
Rashid Kawawa
Edwad Sokoine
Cleopa msuya
Edwad Sokoine (second time)
Salim A Salim
Joseph Warioba
John Malechela
Cleopa Msuya (Second time)
Fedrec Sumaye
Edwad Lowassa
Mizengo pinda
Majaliwa Majaliwa
Who is next?
Alivyosema Rais yupo mzima wa afya anachapa kazi kumbe anatuongopea.
Hata Hangaya alidanya hivyo akiwa TangaAlivyosema Rais yupo mzima wa afya anachapa kazi kumbe anatuongopea.
Kupanga baraza ni rahisi zaidi kuliko kumfukuza kazi PM.Nadhani hii inaitwa creative accounting unaanzia jibu unakuja kwenye swali.hapa PM amepewa mda wa kutafakari tuu.kuliko kutupwa nje amepewa wankuachia ngazinili abaki na heshima yake.so pm atachia ngazi halafu raisi atawarudisha walewale aliokwisha watangaza leo kwenye baraza jipyaWaziri mkuu hawezi jiuzulu. Akijiuzulu maana baraza la mawaziri limevunjika. Ina maana Samia apange tena upya baraza la mawaziri ?Sasa itakuwa utoto.
Kwani kuna kazi gani kupanga?Waziri mkuu hawezi jiuzulu. Akijiuzulu maana baraza la mawaziri limevunjika. Ina maana Samia apange tena upya baraza la mawaziri ?Sasa itakuwa utoto.
Hakuna kitu kama hiko, kumbuka Waziri Mkuu akijiuzulu serikali inakuwa imevunjika, hivyo Rais atatakiwa aunde upya baraza la mawaziriPindi tutakapopata Spika Mpya Waziri Mkuu atajiuzulu kwa hiari au kulazimishwa. Then Mama ataunda serikali yake kamili na mpya ya awamu ya sita
Augustine MremaJulius Nyerere
Rashid Kawawa
Edwad Sokoine
Cleopa msuya
Edwad Sokoine (second time)
Salim A Salim
Joseph Warioba
John Malechela
Cleopa Msuya (Second time)
Fedrec Sumaye
Edwad Lowassa
Mizengo pinda
Majaliwa Majaliwa
Who is next?
Shida iko wapi kuunda?H
Hakuna kitu kama hiko, kumbuka Waziri Mkuu akijiuzulu serikali inakuwa imevunjika, hivyo Rais atatakiwa aunde upya baraza la mawaziri
Pindi tutakapopata Spika Mpya Waziri Mkuu atajiuzulu kwa hiari au kulazimishwa. Then Mama ataunda serikali yake kamili na mpya ya awamu ya sita
Ni vurulu vurulu...Hata akijiuzulu hakutokua na effect yoyote. Tumeshajizoelea na nchi yetu hamna kufuata sheria
Ramli chonganishiPindi tutakapopata Spika Mpya Waziri Mkuu atajiuzulu kwa hiari au kulazimishwa. Then Mama ataunda serikali yake kamili na mpya ya awamu ya sita
Utafanya Nini wewe .....Kila siku ni kuunda baraza la mawaziri?
2025 mwambieni ni karibu sanaaa.
Sio lazima mimi hata Mungu atamtoa.Utafanya Nini wewe .....
Unafikili mama samia unaweza kumtoa kwa kupiga kura yako [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mama samia humuwezi ..
Kisiasa
Kiccm
Ki NEC
Ki Bunge
Na 2025 huwezi kumtoa hata usipompigia kura [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kambona? Sijamuona kwenye rejea zangu, ngoja nitafute zaidiOscar Oscar
Masikhara hayoDk. Kasheku Musukuma,Phd.
Fred LowassaJulius Nyerere
Rashid Kawawa
Edwad Sokoine
Cleopa msuya
Edwad Sokoine (second time)
Salim A Salim
Joseph Warioba
John Malechela
Cleopa Msuya (Second time)
Fedrec Sumaye
Edwad Lowassa
Mizengo pinda
Majaliwa Majaliwa
Who is next?
Hilo lipo wazi nishaleta uzi humuPindi tutakapopata Spika Mpya Waziri Mkuu atajiuzulu kwa hiari au kulazimishwa. Then Mama ataunda serikali yake kamili na mpya ya awamu ya sita